Abel james
Senior Member
- Jun 12, 2014
- 103
- 8
Wanafunzi wengi sana husoma kwa kufuata mkumbo eti wanatafuta sifa za kuitwa wanasayansi wengi wao ni vilaza watupu vichwa vyao ni kabage tu, huishia kujisifia na tucomb huku wakiendelea kuandaa vyombo vya kutagia mayai necta.
Wengi wao hudharau hata wanaosoma art wakijidai wao ni madoctor na maengeneer, wengine wanadhubutu ata kuvaa kanzu za laboratory kitaa, wengi wametaga na tunao kitaa, huku ma artist wakiongoza kwa kufahuru vizuri, kupata vyuo, na kupass vizur pia vyuoni, wakati huo hao jamaa wanabak kupiga miayo kitaa wakiwaona wenzao wakipeta na maisha,wanabak tuu na history nilisomaga sayansi, mpendwa usiige kunya kwa tembo utapasuka makalio!