Nashauri tususie mada za Ushoga na Udini

queenkami

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2010
Posts
1,694
Reaction score
1,249
Habari zenu wapwa.
Nisiwachoshe.
Wote mnaona jinsi kumekuwa na wimbi kubwa la nyuzi za Ushoga hasa za kujifanya kupinga na kulaani Ushoga.

Ndugu zangu msidanganye,publicity ni publicity hakuna publicity mbaya.Kitendo tu cha kuandika neno Ushoga tayari umeu promote.Hata ukiandika MASHOGA WAULIWE tayari umeu promote.Ukiandika MASHOGA MTAENDA JEHANAMU tayari umeusogeza hatua kadhaa mbele za kuufanya uonekana ni kitu cha kawaida.

Anayeuongelea kwa kuusifia na anayeuongelea kwa kuulaani wote wanaufanya uonekane wa kawaida.

TUFANYAJE SASA?Kama wewe huupendi ushoga kama mimi basi kuanzia leo ukiona uzi wowote wenye neno Ushoga usiufungue.Ikiwa kichwa cha habari hakionyi kuwa ni uzi wa ushoga ukaufungua basi hata kama umekasirika ondoka kimya kimya usitukane wala usilaani.

Lengo letu ni nyuzi yeyote inayoongelea ushoga hata kama inakemea isipate comment wala like hata moja.
Na atakayecoment nyuzi zinazoongelea Ushoga hata akijifanya kulaani basi tunajua ni ji shoga liko kwenye mission ya kuu normalize ushoga kijanja.

Mimi hii thread itakua ndio ya kwanza na ya mwisho kupost kuhusu ushoga.Sitarudia tena.Hata mimi kwa hii thread pia nimeu promote 😭😭☹️ ila imebidi niiandike ili tuchukue hatua kwa pamoja kuliko kuchukua hatua peke yangu.

Halafu mods. tunaomba msaada wenu.Mnaonaje mkawa mnaIfuta nyuzi za Ushogq na kuwa ban wanaozianzisha?

Mi thread yao ikipata zero antetion wataacha na JF itaacha kuwa sehemu ya kuu promote huu USHETANI/UFIRAUNI

UDINI:Mabishano ya kidini yamaweza kutuletea vita kimzaha mzaha

Yanajenga chuki baina yetu.Tutambue tu ukiweka Debate ya kidini hakuna atakayeshinda sbb kila mtu anaona dini yake ni bora zaidi.

CHA KUFANYA:Wewe muislam si unajua kuwa dini yako ndio dini ya kweli?Basi akitokea Mkristo mpumbavu akaikashifu imani yako wala usijibozane na jinga hilo,likaushie likiona m thread wake haujapata attention labda inaweza kusaidia likajigundua kuwa ni li jinga.Ukilijibu litazisisha uwehu wake.

Nawe mkristo wewe si unaamini kuwa dini yako ndio ya kweli?Akitokea mpumbavu mmoja anayejificha kwenye kivuli cha uislamu akaikashifu dini yako mpuuze,usimtukane wala usidebate nae.

Tunachotakiwa kujua ni kwamba huwezi kubadili imani ya mtu kwa kumtukana au kumkashifu au kwa kumlazimisha aamini unachoamini wewe.

Mambo ya kubaka au kulawiti watoto au Ushoga yanafanywa na viongozi wa dini zote.Hakuna upande uliozidi wala kupungua.

Kila mtu aamini anachoamini na kila mtu ana haki ya kupewa heshima kwa kile anachoamini hata kama Jiwe ndio Mungu wake cha msingi havunji sheria wala haleti madhara kwa jamii.

Wanalumbania dini huwa nawaona kama watu wenye fyuzi zimekatika.Nati zimewalegea,madish yamewayumba,wana frustration za maisha.

TUPENDANE.

Sisi ni watanzania tuna dini na tunamuogopa Mungu kila mtu kwa imani yake.

PEACE.
 
Nyuzi zote zinaleta mkanganyiko hapa kupuuza za dini, mambo ya upinde na ukabila basi...kuhusu siasa ni haki kujadili .
 
Sasa wasipoliwa unataka aliwe nani?
Wewe kama huli wenzio tunakula.
 
Upo sahihi mkuu.

Hili jambo nilitaka leo niandikie mada.

Naona hapa JF swala la ushoga limepewa kipaumbele mno.

Ukifungua tu JF unakutana na mada hizo.

Naomba uongozi wa JF uwe una discourage mada kama hizo.

Its a bit too much.
 
Jambo ambalo hukulizingatia ni kwamba uliyoyasema hapa, yanaakisi ni namna gani watu wanatakiwa wa deal na mambo mabaya au maovu.

Kwa mujubu wako ni kwamba mabishano ya kidini na mada za kukemea ushoga ni mambo mabaya.
Sasa unaonaje na wewe ungekaa kimya, I mean ungesusa kimya kimya.
je ungeleta impact yoyote kwa kususa kwako?

Na je nikisema hili ulilifanya ni unafiki kwa maana na wewe ni unaeyafanya hayo uliyoyakemea, nitakuwa sahihi? maana ndio maelezo yako yanavyosema " wanaokemea nao ni wafanyaji".

UOVU AU MAMBO MABAYA, hayaondolewi kwa kukaliwa kimya ni lazima yakemewe, other watu wataona ni sahihi, na kama ingekuwa hivyo basi ungeaza kukaa wewe kimya na usingetuletea huu uliouita ushauri.
 
Tayari watu wameufungua uzi wako na wanachangia[emoji16]
Habari zenu wapwa.
Nisiwachoshe.
Wote mnaona jinsi kumekuwa na wimbi kubwa la nyuzi za Ushoga hasa za kujifanya kupinga na kulaani Ushoga.
Ndugu zangu msidanganye,publicity ni publicity hakuna publicity mbaya.Kitendo tu cha kuandika neno Ushoga tayari umeu promote.Hata ukiandika MASHOGA WAULIWE tayari umeu promote.Ukiandika MASHOGA MTAENDA JEHANAMU tayari umeusogeza hatua kadhaa mbele za kuufanya uonekana ni kitu cha kawaida.
Anayeuongelea kwa kuusifia na anayeuongelea kwa kuulaani wote wanaufanya uonekane wa kawaida.
TUFANYAJE SASA?Kama wewe huupendi ushoga kama mimi basi kuanzia leo ukiona uzi wowote wenye neno Ushoga usiufungue.Ikiwa kichwa cha habari hakionyi kuwa ni uzi wa ushoga ukaufungua basi hata kama umekasirika ondoka kimya kimya usitukane wala usilaani.
Lengo letu ni nyuzi yeyote inayoongelea ushoga hata kama inakemea isipate comment wala like hata moja.
Na atakayecoment nyuzi zinazoongelea Ushoga hata akijifanya kulaani basi tunajua ni ji shoga liko kwenye mission ya kuu normalize ushoga kijanja.
Mi thread yao ikipata zero antetion wataacha na JF itaacha kuwa sehemu ya kuu promote huu USHETANI/UFIRAUNI

UDINI:Mabishano ya kidini yamaweza kutuletea vita kimzaha mzaha
Yanajenga chuki baina yetu.Tutambue tu ukiweka Debate ya kidini hakuna atakayeshinda sbb kila mtu anaona dini yake ni bora zaidi.
CHA KUFANYA:Wewe muislam si unajua kuwa dini yako ndio dini ya kweli?Basi akitokea Mkristo mpumbavu akaikashifu imani yako wala usijibozane na jinga hilo,likaushie likiona m thread wake haujapata attention labda inaweza kusaidia likajigundua kuwa ni li jinga.Ukilijibu litazisisha uwehu wake.
Nawe mkristo wewe si unaamini kuwa dini yako ndio ya kweli?Akitokea mpumbavu mmoja anayejificha kwenye kivuli cha uislamu akaikashifu dini yako mpuuze,usimtukane wala usidebate nae.
Tunachotakiwa kujua ni kwamba huwezi kubadili imani ya mtu kwa kumtukana au kumkashifu au kwa kumlazimisha aamini unachoamini wewe.
Mambo ya kubaka au kulawiti watoto au Ushoga yanafanywa na viongozi wa dini zote.Hakuna upande uliozidi wala kupungua.
Kila mtu aamini anachoamini na kila mtu ana haki ya kupewa heshima kwa kile anachoamini hata kama Jiwe ndio Mungu wake cha msingi havunji sheria wala haleti madhara kwa jamii.
Wanalumbania dini huwa nawaona kama watu wenye fyuzi zimekatika.Nati zimewalegea,madish yamewayumba,wana frustration za maisha.

TUPENDANE.

Sisi ni watanzania tuna dini na tunamuogopa Mungu kila mtu kwa imani yake.

PEACE.
 
Kuna kukemea uovu kwa kutumia power, kuna kukemea kwa kutumia ulimi, na kuna kukemea kwa kuchukia moyoni.

Anaechukia moyoni tu hana impact yoyote katika kuubadilisha uovu.
 
Upo sahihi mkuu.

Hili jambo nilitaka leo niandikie mada.

Naona hapa JF swala la ushoga limepewa kipaumbele mno.

Ukifungua tu JF unakutana na mada hizo.

Naomba uongozi wa JF uwe una discourage mada kama hizo.

Its a bit too much.
Uongozi wa JF? Wakati wadau wao wakubwa ni mabalozi, siku wakipinga waziwazi ndio wasahau back up ya mzungu.
 
Mimi hata kuandika hizo mambo niliacha muda mrefu sana nilichogundua wanaohusika ndio waanzisha hizo mada mpaka kwenye makundi ya WhatsAap huko..
 
Back
Top Bottom