Abeltrainer
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 245
- 473
Kwa kweli kila nikivuta picha, naona tunaenda kukutana na gharika kuu, yaani naona tukipigwa goli kumi, zikipungua sana nane.
Sasa ili kuepukana na hili gharika, kwa kweli tuweke mpira kwapani, tuwaachie point tatu, na tff watukate tu hizo point zao tisa
Binafsi sitaangalia mpira,wala kutumia mitandao ya kijamii kuanzia tarehe 19/4 mpaka tarehe 26/4
Kama mashujaa wametushinda, hawa jamaa si watatupoteza kabisa
Mo out, try again out, mangungu out