Abeltrainer
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 245
- 473
Dah Moja ya adhabu ya kutopeleka timu uwanjani ni kushushwa daraja...Kwa kweli kila nikivuta picha, naona tunaenda kukutana na gharika kuu, yaani naona tukipigwa goli kumi, zikipungua sana nane
Sasa ili kuepukana na hili gharika, kwa kweli tuweke mpira kwapani, tuwaachie point tatu, na tff watukate tu hizo point zao tisa
Binafsi sitaangalia mpira,wala kutumia mitandao ya kijamii kuanzia tarehe 19/4 mpaka tarehe 26/4
Kama mashujaa wametushinda, hawa jamaa si watatupoteza kabisa
Mo out, try again out, mangungu out
Sasa tufanyaje mkuu, kwa sababu tunaenda kupata aibu ya kihistoriaDah Moja ya adhabu ya kutopeleka timu uwanjani ni kushushwa daraja...
Tumshukuru Mungu hatuna la kufanya....R.I.P HanspopeSasa tufanyaje mkuu, kwa sababu tunaenda kupata aibu ya kihistoria
Nilikuwa naangalia marudio ya mamelody na yanga, nikaangalia na hii. Game yetu ya leo na mashujaa, aisee..... Hawa jamaa watatuuaKitakacho wakuta tar 20!View attachment 2959086
Sisi ndiyo Simba SC AKA;Kwa kweli kila nikivuta picha, naona tunaenda kukutana na gharika kuu, yaani naona tukipigwa goli kumi, zikipungua sana nane.
Sasa ili kuepukana na hili gharika, kwa kweli tuweke mpira kwapani, tuwaachie point tatu, na tff watukate tu hizo point zao tisa
Binafsi sitaangalia mpira,wala kutumia mitandao ya kijamii kuanzia tarehe 19/4 mpaka tarehe 26/4
Kama mashujaa wametushinda, hawa jamaa si watatupoteza kabisa
Mo out, try again out, mangungu out
Tarehe 20, goli 20Kwa kweli kila nikivuta picha, naona tunaenda kukutana na gharika kuu, yaani naona tukipigwa goli kumi, zikipungua sana nane.

Mechi za dabi hazitabiriki ndugSisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Mikia SC.
8. Mazumbukuku SC.
9. Manyaunyau (mapaka) SC.
10. Manyang'au SC.
11. Miso Misondo SC.
12. Mwakarobo SC.
13. Mazombi SC.
14. Kolokhamsa SC.
15. Kolowizards SC.
16. Kinyume nyume SC.
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Bahasha SC.
20. Ngada SC.
21. Kufa Kiume SC.
View attachment 2959089View attachment 2959091
Simba hatokubali kufungwa hiyo mechi na atashinda kuwa mpoleKwa kweli kila nikivuta picha, naona tunaenda kukutana na gharika kuu, yaani naona tukipigwa goli kumi, zikipungua sana nane.
Sasa ili kuepukana na hili gharika, kwa kweli tuweke mpira kwapani, tuwaachie point tatu, na tff watukate tu hizo point zao tisa
Binafsi sitaangalia mpira,wala kutumia mitandao ya kijamii kuanzia tarehe 19/4 mpaka tarehe 26/4
Kama mashujaa wametushinda, hawa jamaa si watatupoteza kabisa
Mo out, try again out, mangungu out
Babra alipigwa vita sana for nothing. akina mangungu na team yake wameshika madaraka kiko wapi?Hii timu tangu aondoke Babra imepoteza mvuto kabisa,hakuna viongozi pale wote ni mizigo.
Tumshukuru Mungu hatuna la kufanya....R.I.P Hanspope