Pre GE2025 Nashauri Wabunge wa CCM wapeleke muswada bungeni wakuondoa ukomo wa madaraka, ili Rais akataliwe katika sanduku la kura

Pre GE2025 Nashauri Wabunge wa CCM wapeleke muswada bungeni wakuondoa ukomo wa madaraka, ili Rais akataliwe katika sanduku la kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

RUSTEM PASHA

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2016
Posts
4,707
Reaction score
11,365
Kwa vile CCM huwa wanaiba agenda za CDM basi ningeshauri na hili la kuondoa ukomo wa madaraka walipeleke bungeni. Kwa vile Wabunge wanawakilisha wananchi kisha waamue kama ukomo uendelee au usiendelee.

Na pia katika ajira Serikali isogeze muda wa kustaafut na kua miaka 68 kwa sababu miaka ya sasa ni michache na watu wanakua Bado na nguvu za kutosha kama alizonazo ndugu na mwanamageuzi FAM.

ASANTENI.
 
Back
Top Bottom