Nashauri wanaochafua nchi wafilisiwe mali zao

Kwa hiyo ikifanyika hivyo nchi itakuwa safi? Je, sio kuwa ndio itachafuka zaidi?
 
Mlishindwa kudhulumu majumba ya kina Oscar Kambona sasa mnawaza kuwadhulumu kina Lisu aibu nakuapia watakao rudisha mali ni Magu na kundilake muda utasema
 
Kwa definition pana ya neno kuchafua, Rais na spika wetu hawawezi kukosekana.
 
Anzeni kuwafilisi kina BASHITE na MWANAHARAKATI HURU MAYAGI MULAGA ,mkishawafilisi hao then MJE KWA WATU WANOAJULIKANA wanaong'oa watu MENO/KUCHA kwa KOLEO.
 
Niliwaza kama wewe ila nikaona ..hata kwenye vyombo vya habari vya nje..wanaongelea Tanzania Sana ndio jina linalotwajwa.
PINGUZA UPUMBAVU.

ANGALAU UNGEANDIKA KUICHAFUA SELIKALI.

Umeandika madudu.
Mbona unaandika sms za stress aisee
Mbona unaandika sms za stress athe
 
Mwambie kwanza aliyeiba bilioni 425 za wawekezaji wa kiwanda cha dawa kutoka uarabuni arudishe anachafua nchi wawekezaji wanataka kuhamia Kenya .
 
mawazo yako ndio yanazaa chuki na visasi kwenye nchi.Ukishamfilisi mtu kumbuka anarafiki,ndugu na jamaa amabo wako hapa hawajafanya huo uchafuzi lakini wanamapenzi mema kwa nchi yao na ndugu yao.Utakapo mtendea vibaya ndugu yao hawatakuacha salama.Zambia walinusurika kidogo kufika huko Mungu tu aliwanusuru.Ushauri wako ni mzuri kwa wenye mtizamo kama wako lakini si afya kwa mustakabali wa nchi.Wakichafua wewe safisha kwa "HOJA"siyo kwa "LUNGU"
 
Anzeni kumfilisi Mbowe
 
Haya ni mawazo ya bashite sabaya type ya kuwapora watu Mali zao kwa kuwabambika.
 
wewe ni mzigo kwa taifa
 
Anaekulipa kwa kazi hizi naye hana akili kama wewe
 
Sasa wewe ndiyo mchafuzi, hebu jibu hoja za wadau hapo juu, sio unaandika uinga hapa
 
Watu wengi hawajui tofauti Kati ya nchi na serikali.
Pia kuna wajinga kabisa ambao nchi, serikali na chama tawala ni kitu kimoja.
 
Unapotoka kijana, taifa linahitaji watu makini, wewe sio mtu makini, usiharibu amani iliyopo maana, usione watu wapo kimya wanatafakri kwa yale waliyofanyiwa
 
Naunga mkono hoja
Unaunga mkono wizi wa kura kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani uonevu unyanyasaji uovu mateso manyanyaso kuubaka kuunajisi kuulawiti uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…