Ukiashakua na sera nzuri, ina maana pia pana utaratibu mzuri na uongozi bora, machafuko yatatokea wapi?Hiyo point yako ni sawa lakini je kama unasera nzuri ya uwekezaji alafu nchi ikawa na machafuko ya kisiasa....?
Umesoma ulichoandika na kujiridhisha vyema kuwa umetafakari kabla ya kuandika? sidhani kama unajielewa!Kuichafua nchi inapelekea nchi kujengewa mashaka na wawekezaji ambao walikuwa na nia ya kuja kuekeze kwenye taifa letu..maana yake ni kupotea kwa fursa za ajira ambazo zilikuwa zitolewe kwa Watanzania.
Wewe comment yako inaonyesha wewe ni fukara wa akili na mali pia.Mleta mada unatamani mali zao? Kama ndio nenda kaolewe nao watakupa bure uliridhshe moyo wako.
Andiko lako limetupa picha kuwa ni masikini wa akili na kipato pia.
Utapakuliwa)))
Nchi yetu haina waasi,wala machafuko ya kisiasa ..tafsiri yake Lema anaikimbia kivuli chake.NEC, manyigu na manjagu hawa ndiyo wameichafua nchi yetu sana hasa kwa uharamia waliofanya kwenye uchafuzi mkuu uliopita.
Wewe comment yako inaonyesha wewe ni fukara wa akili na mali pia.
Mkuu watafuta uteuziHapo vip!
Hii hali ya kuichafua nchi imekuwa biashara kwa wanasiasa na wanaharakati fulani fulani.
Kuichafua Nchi ni kitendo cha uhaini na watu hao wanafaa waweke Kwenye list ya maadui wa taifa letu.
Kuichafua nchi inapelekea nchi kujengewa mashaka na wawekezaji ambao walikuwa na nia ya kuja kuekeze kwenye taifa letu..maana yake ni kupotea kwa fursa za ajira ambazo zilikuwa zitolewe kwa Watanzania.
Nchi kukosa ushirikiano wa maendeleo, na misaada kutoka katika mataifa mengine. Haya madhara yote yanamkuta mwananchi na sio mtawala.
Ni wazi hizi sarakasi za akina Lema na watu wanaofanana na yeye zinatokana na aibu ya kukataliwa na wananchi na kwakufanya hivyo wanapata misaada ya kifedha katika mataifa husika waliowapatia hifadhi na watoto wao wanasomeshwa bure.
Nashauri serikali yetu sikivu kwasababu hii tabia inamea na inakuwa kwa kasi. Na watu wenyewe wanaochafua nchi wamechuma sana ndani ya nchi wanaoichafua basi serikali ichunguze mali walizonazo huku kisha wafilisiwe ili wanaposababisha maisha magumu kwa wananchi kwa kuisema na kutangaza nchi vibaya naye asiwe salama kiuchumi.
Sijawahi kusikia wala kuona mataifa ya Ulaya na America wananchi wake wakichafua nchi zao. Mfano mzuri China na Russia hamna Mzungu anayekimbia nchi yake na kujidai mkimbizi.
Nashauri tuanze na yule aliyemuuzia KABULA wa kabis nyumba za umma wakati alikuwa hawala yake tu na hakuwa mtumishi wa umma . Yule aliyemuuzia nyumba bwana MUSA MAGUFULI Kwa laki 6 wakati hakuwa mtumishi wa ummaHapo vip!
Hii hali ya kuichafua nchi imekuwa biashara kwa wanasiasa na wanaharakati fulani fulani.
Kuichafua Nchi ni kitendo cha uhaini na watu hao wanafaa waweke Kwenye list ya maadui wa taifa letu.
Kuichafua nchi inapelekea nchi kujengewa mashaka na wawekezaji ambao walikuwa na nia ya kuja kuekeze kwenye taifa letu..maana yake ni kupotea kwa fursa za ajira ambazo zilikuwa zitolewe kwa Watanzania.
Nchi kukosa ushirikiano wa maendeleo, na misaada kutoka katika mataifa mengine. Haya madhara yote yanamkuta mwananchi na sio mtawala.
Ni wazi hizi sarakasi za akina Lema na watu wanaofanana na yeye zinatokana na aibu ya kukataliwa na wananchi na kwakufanya hivyo wanapata misaada ya kifedha katika mataifa husika waliowapatia hifadhi na watoto wao wanasomeshwa bure.
Nashauri serikali yetu sikivu kwasababu hii tabia inamea na inakuwa kwa kasi. Na watu wenyewe wanaochafua nchi wamechuma sana ndani ya nchi wanaoichafua basi serikali ichunguze mali walizonazo huku kisha wafilisiwe ili wanaposababisha maisha magumu kwa wananchi kwa kuisema na kutangaza nchi vibaya naye asiwe salama kiuchumi.
Sijawahi kusikia wala kuona mataifa ya Ulaya na America wananchi wake wakichafua nchi zao. Mfano mzuri China na Russia hamna Mzungu anayekimbia nchi yake na kujidai mkimbizi.
Nchi yetu inachafuliwa na Serikali ya John Pombe Joseph Magufuli na viongozi wake wa Awamu ya Tano waliochafua Uchafuzi wa mwaka huu chanzo cha wakimbizi kunusuru maisha yao. Nchi imekwisha filisika tayari ndo maana maisha ya raia yamekuwa magumu na mabulungutu aliyokuwa anazunguka nayo mchafusi mkuu kugawia maswaiba yamepungua lakini mchafusi mkuu mwenyewe na viongozi wenzake bado wana mali walizolimbikiza. Ni ushauri wa kijinga, nani atamfunga paka kengele?Hapo vip!
Hii hali ya kuichafua nchi imekuwa biashara kwa wanasiasa na wanaharakati fulani fulani.
Kuichafua Nchi ni kitendo cha uhaini na watu hao wanafaa waweke Kwenye list ya maadui wa taifa letu.
Kuichafua nchi inapelekea nchi kujengewa mashaka na wawekezaji ambao walikuwa na nia ya kuja kuekeze kwenye taifa letu..maana yake ni kupotea kwa fursa za ajira ambazo zilikuwa zitolewe kwa Watanzania.
Nchi kukosa ushirikiano wa maendeleo, na misaada kutoka katika mataifa mengine. Haya madhara yote yanamkuta mwananchi na sio mtawala.
Ni wazi hizi sarakasi za akina Lema na watu wanaofanana na yeye zinatokana na aibu ya kukataliwa na wananchi na kwakufanya hivyo wanapata misaada ya kifedha katika mataifa husika waliowapatia hifadhi na watoto wao wanasomeshwa bure.
Nashauri serikali yetu sikivu kwasababu hii tabia inamea na inakuwa kwa kasi. Na watu wenyewe wanaochafua nchi wamechuma sana ndani ya nchi wanaoichafua basi serikali ichunguze mali walizonazo huku kisha wafilisiwe ili wanaposababisha maisha magumu kwa wananchi kwa kuisema na kutangaza nchi vibaya naye asiwe salama kiuchumi.
Sijawahi kusikia wala kuona mataifa ya Ulaya na America wananchi wake wakichafua nchi zao. Mfano mzuri China na Russia hamna Mzungu anayekimbia nchi yake na kujidai mkimbizi.
Masikini minyoo unasikitisha mnoWewe mbweha haujaacha kuvuta Bangi ukajiona eti una Akili? Wakiitwa wenye Akili na wewe zuzu mbumbumbu utaenda? Nani kakuambia kuwa na Akili ni kushabikia kupora mali za watu? Acha ufala wako inaelekea uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho sasa unatapatapa kuisengenya ID ya JF ambayo haitokani na ubatizo msikitini wala kanisani ndiyo maana ID yako ni ya kidwanzi na kishamba lakini hakuna wa kuhangaika nayo watu wapo busy na Hoja, acha kuvuta Bangi kisha kuja kusumbua watu mitandaoni kama huna Hoja endelea kuvuta Bangi mbaka uwe chizi
Huna akili we f#la...sh#ga tuAcha kurukia maandiko ya wanaume utatiwa mimba ya puani.
Jiangalie aisee!!
Kuwa mpole,umeleta mada ijadiliwe acha kutukana watu,ndio nyie mnaoichafua "nchi"Huna akili we f#la...sh#ga tu
Nchi anaichafua Magufuli, Unataka Kampuni ya Mayanga ifilisiwe?Hapo vip!