FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
Kusema ukweli hela haikai hata kama utapewa kiinua mgongo cha milioni mia tatu hamsini baada ya miaka mitano, kitaisha tu na huwa aibu kwa mtu aliyewahi shika madaraka makubwa kama ukuu wa mkoa, wilaya au ubunge kufulia, huwaumiza sana watu waliompenda na kumtegemea.
Ombi langu kwa serikali,kupitisha angalau watu hawa au waheshimiwa hawa wanapomaliza mda wao au kuachishwa wawe wanapewa kiinua mgongo cha angalau milioni moja kila mwezi.wengi wao hawajui biashara kama Mimi useme watahimili maisha bila mshahara au kushinda viti vyao au kuongrzewa mda au kuteuliwa.watu wa serikali mnaopitisha jicho ktk Uzi huu mpelekeeni mh.Rais aliweke ktk agenda.
Kinachonishangaza wabunge nao hukaa bungeni lakini hawajitetei wao na kuangalia kesho yao.