matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
ugumu unafaida gani mkuu?Kila kitu mnataka urahisi vijana wa siku hizi. Nani kawaroga?
Sasa mtihani ukiwa rahisi na wote mkafaulu kupata daraja A itasaidia nini?
CCM itatawala milele kwa akili hizi!
😀😀😀Nashauri paper yao ianzie zile concepts za chekechea mpaka form four na baadhi ya matango pori ya advanced level...
#kwa watoto wetu wa sasa hivi watafaulu tu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe uliposoma mambo magumu umesaidia nini nchi? taifa hili umeliletea nini baada ya kusoma na kufanya mitihani migumu?Kila kitu mnataka urahisi vijana wa siku hizi. Nani kawaroga?
Sasa mtihani ukiwa rahisi na wote mkafaulu kupata daraja A itasaidia nini?
CCM itatawala milele kwa akili hizi!
hiyo elimu Ngumu ya anayoipenda pia ni mawazo ya CCM anayoipinga.Wewe uliposoma mambo magumu umesaidia nini nchi? taifa hili umeliletea nini baada ya kusoma na kufanya mitihani migumu?
Kwani watu wote wakipata A kuna shida gani?
CCM ikitawala milele na ikawa na sera bora na huduma kwa jamii zikapatikana kuna tabu gani? Tatizo sio CCM kutawala, tunataka maisha ya mtu yawe na unafuu kama huduma za kijamii n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Nisaidie kitu. Ugumu ni nini?ugumu unafaida gani mkuu?
nadhani tuache tamaduni kuwa kitu kigumu au kinachopatikana kwa mateso ndio Bora.
Kupima uelewa wa 1/1/2020 mwaka 2024 huu ni ugumu wa kujitakia na kukataa kubuni njia bora.
Kwa nini chuo kikuu hakuna Necta au wasomi wa PHD hata wakisoma miaka 10 hawapimwi kwa kipimo chetu o level?
Mambo magumu ni yapi?Wewe uliposoma mambo magumu umesaidia nini nchi? taifa hili umeliletea nini baada ya kusoma na kufanya mitihani migumu?
Kwani watu wote wakipata A kuna shida gani?
CCM ikitawala milele na ikawa na sera bora na huduma kwa jamii zikapatikana kuna tabu gani? Tatizo sio CCM kutawala, tunataka maisha ya mtu yawe na unafuu kama huduma za kijamii n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
La pili wanadhani elimu ni kufaulu, na sio matumizi ya maarifa, na ujuzi katika kurahisisha jambo.Kosa la kwanza, umeirahisisha elimu.
Ahsante kwa nyongeza👍La pili wanadhani elimu ni kufaulu, na sio matumizi ya maarifa, na ujuzi katika kurahisisha jambo.
Wanaamini Elimu ni kukaa darasani kwa kipindi chote cha cha muda uliowekwa na kupewa cheti.