Nashauri Yericko nyerere asiwe mjumbe kamati kuu ya CHADEMA, abakie mwanachama wa kawaida kwasababu hana vigezo

Nashauri Yericko nyerere asiwe mjumbe kamati kuu ya CHADEMA, abakie mwanachama wa kawaida kwasababu hana vigezo

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Katika kuweka chama katika heshima na ubora hatuezi kupuuzia busara za wajumbe.

Wajumbe ni jicho la wanachama!

Wanachama hatuwezi kuendelea kuwakilishwa na walemavu wa ubongo mkutano mkuu wa maamuzi!

Sipo hapa kuhoji Yericko Nyerere aliupataje ujumbe wa mkutano mkuu lakini nashauri huyo kijana asiwepo kabisa kwenye sehemu ya wajumbe!

Naomba uongozi mpya mlikumbuke hilo.

Level ya kufikiri kwake ni ndogo hatakiwi kuwakilisha wanachadema mkutano mkuu (Poor capacity of thinking)
 
Katika kuweka chama katika heshima na ubora hatuezi kupuuzia busara za wachumbe.

Wajumbe ni jicho la wanachama!

Hatuwezi wajumbe kuwakilishwa na walemavu wa ubongo!
Sipo hapa kuhoji Yericko nyerere aliupataje ujumbe wa kamati kuu lakini nashauri huyo kijana asiwepo kabisa kwenye sehemu ya wajumbe kamati kuu!
Yericko amekuacha mbali sana kifedha na tambua kwamba fedha haiendi kwa mtu mjinga.

Ana miliki Mansion 3 Storey building.
 
Upo sahihi mkuu!!Licha yakuwa ilikuwa ni ushindani ambacho ni kitu cha kawaida,Lakini Yericko alikwenda Beyond, Naamini alipatwa na roho mbaya hata nadhani angekutana na Lissu kwenye uchochoro angeweza kumdhuru Lissu.Yule Mkulima wa Bamia ni kiazi hafai hata kuwa mwanachama wakaida wa Chadema.
 
Katika kuweka chama katika heshima na ubora hatuezi kupuuzia busara za wajumbe.

Wajumbe ni jicho la wanachama!

Wanachama hatuwezi kuendelea kuwakilishwa na walemavu wa ubongo kamati kuu!

Sipo hapa kuhoji Yericko Nyerere aliupataje ujumbe wa kamati kuu lakini nashauri huyo kijana asiwepo kabisa kwenye sehemu ya wajumbe kamati kuu!

Naomba uongozi mpya mlikumbuke hilo.
Wazo zuri

namshauri tundu lisu amteue mdude nyagali kuwa mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho Cha chadema, mdude nyagali achukue nafasi ya yericko nyerere
 
Yericko amekuacha mbali sana kifedha na tambua kwamba fedha haiendi kwa mtu mjinga.

Ana miliki Mansion 3 Storey building.
Screenshot_20250122_084841.jpg
 
Mkuu mnazungumzia mansheni au hoja??
Amemwita mwenzake kwamba ana ulemavu wa ubongo means punguani,hana akili ,"mento" na ndiyo maana nikamjibu kwamba amemzidi kifedha na ana Mansion ya Floor 3(ghorofa mbili) mita chache kutoka baharini Kichangani MBUTU ,Fedha haiendi kwa MJINGA(By Oscar Oscar).

1737567260947.png
 
  • Kicheko
Reactions: K11
Katika kuweka chama katika heshima na ubora hatuezi kupuuzia busara za wajumbe.

Wajumbe ni jicho la wanachama!

Wanachama hatuwezi kuendelea kuwakilishwa na walemavu wa ubongo kamati kuu!

Sipo hapa kuhoji Yericko Nyerere aliupataje ujumbe wa kamati kuu lakini nashauri huyo kijana asiwepo kabisa kwenye sehemu ya wajumbe kamati kuu!

Naomba uongozi mpya mlikumbuke hilo.
Yericko sio Mjumbe wa Kamati Kuu. Ni mjumbe wa Mkutano Mkuu. Wewe ni Senior hapa jamvini, haipendezi mtu wa aina yako kuzungumzia jambo kabla hujafanya kautafiti kidogo.

Jambo lingine Mwenyekiti Mpya kasisitiza kuwa yeye si mtu wa VISASI. Hili unaloshauri wewe linahusiana na masuala hayo ya VISASI. Asante.
 
Sio busara wala hekima kumtukana mtu na kutweza utu wake .

Kuna mjumbe wa kamati kuu na mjumbe wa mkutano mkuu sasa umefatilia yeye anatoka wapi?
 
Hizo ni Changamoto tu za ukuaji wa Demokrasia,popote penye ukuaji mambo kama hayo lazima yajitokeze,labda mchakato ufanywe kibabe kama CCM walivyompitisha mgombea wao kinguvu na kabla ya wakati.
Kikubwa ni Viongozi wapya watumie nafasi zao kuponya majeraha yaliyotokana na mchakato wa uchaguzi na kuwaleta wajumbe pamoja na wanachama pamoja.
 
Katika kuweka chama katika heshima na ubora hatuezi kupuuzia busara za wajumbe.

Wajumbe ni jicho la wanachama!

Wanachama hatuwezi kuendelea kuwakilishwa na walemavu wa ubongo kamati kuu!

Sipo hapa kuhoji Yericko Nyerere aliupataje ujumbe wa kamati kuu lakini nashauri huyo kijana asiwepo kabisa kwenye sehemu ya wajumbe kamati kuu!

Naomba uongozi mpya mlikumbuke hilo.
Yericko anafaa sana Kamati Kuu ili kuweka check and balance.

Amandla...
 
Back
Top Bottom