Yericko amekuacha mbali sana kifedha na tambua kwamba fedha haiendi kwa mtu mjinga.Katika kuweka chama katika heshima na ubora hatuezi kupuuzia busara za wachumbe.
Wajumbe ni jicho la wanachama!
Hatuwezi wajumbe kuwakilishwa na walemavu wa ubongo!
Sipo hapa kuhoji Yericko nyerere aliupataje ujumbe wa kamati kuu lakini nashauri huyo kijana asiwepo kabisa kwenye sehemu ya wajumbe kamati kuu!
Mkuu mnazungumzia mansheni au hoja??Yericko amekuacha mbali sana kifedha na tambua kwamba fedha haiendi kwa mtu mjinga.
Ana miliki Mansion 3 Storey building.
Katika kuweka chama katika heshima na ubora hatuezi kupuuzia busara za wajumbe.
Wajumbe ni jicho la wanachama!
Wanachama hatuwezi kuendelea kuwakilishwa na walemavu wa ubongo kamati kuu!
Sipo hapa kuhoji Yericko Nyerere aliupataje ujumbe wa kamati kuu lakini nashauri huyo kijana asiwepo kabisa kwenye sehemu ya wajumbe kamati kuu!
Naomba uongozi mpya mlikumbuke hilo.
Wazo zuri
namshauri tundu lisu amteue mdude nyagali kuwa mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho Cha chadema, mdude nyagali achukue nafasi ya yericko nyerereUpo sahihi mkuu!!Licha yakuwa ilikuwa ni ushindani ambacho ni kitu cha kawaida,Lakini Yericko alikwenda Beyond, Naamini alipatwa na roho mbaya hata nadhani angekutana na Lissu kwenye uchochoro angeweza kumdhuru Lissu.Yule Mkulima wa Bamia ni kiazi hafai hata kuwa mwanachama wakaida wa Chadema.
mdude nyagali achukue nafasi ya yericko nyerereYericko Nyerere kavuna mabua hana chake tena, aendelee na siasa zake za chuki nje ya uongozi.
Yericko amekuacha mbali sana kifedha na tambua kwamba fedha haiendi kwa mtu mjinga.
Ana miliki Mansion 3 Storey building.
Amemwita mwenzake kwamba ana ulemavu wa ubongo means punguani,hana akili ,"mento" na ndiyo maana nikamjibu kwamba amemzidi kifedha na ana Mansion ya Floor 3(ghorofa mbili) mita chache kutoka baharini Kichangani MBUTU ,Fedha haiendi kwa MJINGA(By Oscar Oscar).Mkuu mnazungumzia mansheni au hoja??
Ana mali/pesa nyingi kuliko Prof Safari.Yericko amekuacha mbali sana kifedha na tambua kwamba fedha haiendi kwa mtu mjinga.
Ana miliki Mansion 3 Storey building.
Yericko sio Mjumbe wa Kamati Kuu. Ni mjumbe wa Mkutano Mkuu. Wewe ni Senior hapa jamvini, haipendezi mtu wa aina yako kuzungumzia jambo kabla hujafanya kautafiti kidogo.Katika kuweka chama katika heshima na ubora hatuezi kupuuzia busara za wajumbe.
Wajumbe ni jicho la wanachama!
Wanachama hatuwezi kuendelea kuwakilishwa na walemavu wa ubongo kamati kuu!
Sipo hapa kuhoji Yericko Nyerere aliupataje ujumbe wa kamati kuu lakini nashauri huyo kijana asiwepo kabisa kwenye sehemu ya wajumbe kamati kuu!
Naomba uongozi mpya mlikumbuke hilo.
Kwani mahawa hawajengi?Ana mali/pesa nyingi kuliko Prof Safari.
Yericko anafaa sana Kamati Kuu ili kuweka check and balance.Katika kuweka chama katika heshima na ubora hatuezi kupuuzia busara za wajumbe.
Wajumbe ni jicho la wanachama!
Wanachama hatuwezi kuendelea kuwakilishwa na walemavu wa ubongo kamati kuu!
Sipo hapa kuhoji Yericko Nyerere aliupataje ujumbe wa kamati kuu lakini nashauri huyo kijana asiwepo kabisa kwenye sehemu ya wajumbe kamati kuu!
Naomba uongozi mpya mlikumbuke hilo.