Murashani GALACTICO JF-Expert Member Joined Feb 27, 2012 Posts 2,511 Reaction score 5,390 Nov 7, 2024 #1 Mwenye kuelewa namna ya kufanya Apply For Appeal kwenye mfumo wa OLAMS HESLB naomba msaada maana kila nikiingia mfumo unaniandikia "An Error Occurred Please Try Again" Msaada kwenye tuta wakuu
Mwenye kuelewa namna ya kufanya Apply For Appeal kwenye mfumo wa OLAMS HESLB naomba msaada maana kila nikiingia mfumo unaniandikia "An Error Occurred Please Try Again" Msaada kwenye tuta wakuu
Tumbili wa mjini JF-Expert Member Joined Nov 2, 2024 Posts 1,125 Reaction score 2,233 Nov 7, 2024 #2 Hii serikali jau sana mwaka huu wengi wamenyimwa mkopo
C Crystal field theory JF-Expert Member Joined Sep 16, 2014 Posts 940 Reaction score 401 Nov 8, 2024 #3 saaana