Nashindwa Kuapply Kazi ya Ualimu kupitia Ajira Portal

chamng'asi

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
215
Reaction score
396
Nina Bachelor degree of Education in Psychology, Lakini Masomo ya kufundishia nilisoma History na Kiswahili.

Cha ajabu kila nikiomba kazi ya ualimu wa History mfumo Unaandika "Failed"

Mwenye kujua suluhisho tafadhali naomba Msaada.

Nataka kuomba hizi nafasi za ajira.
 
Andaa vyeti viwe na mhuri wa mwanasheria kwanza
 
Nina Bachelor degree of Education in Psychology, Lakini Masomo ya kufundishia nilisoma History na Kiswahili.

Cha ajabu kila nikiomba kazi ya ualimu wa History mfumo Unaandika "Failed"

Mwenye kujua suluhisho tafadhali naomba Msaada.

Nataka kuomba hizi nafasi za ajira.
Kuna uzi upo humu tumeshatolea ufafanuzi ! Nenda kwenye uzi wa ajira za ualimu utapata majibu mule
 
Nina Bachelor degree of Education in Psychology, Lakini Masomo ya kufundishia nilisoma History na Kiswahili.

Cha ajabu kila nikiomba kazi ya ualimu wa History mfumo Unaandika "Failed"

Mwenye kujua suluhisho tafadhali naomba Msaada.

Nataka kuomba hizi nafasi za ajira.
Badili hapo kwenye programme category andika bachelor of education in history then jaribu kama itakuambia failed ukituma na kama unataka uombe na kiswahili basi utaandika barua nyingine na pale kwenye programme category utachagua bachelor of education in kiswahili
Ukimaliza maombi unarudisha kama ilivyo kwenye vyeti vyako pale kwenye programme category utaweka bachelor of education in psychology
 
Kuna mtu namfanyia nae sion history and English, sasa nawaza nifanye kama hvy ulivyosema
 
Back
Top Bottom