chamng'asi
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 215
- 396
Andaa vyeti viwe na mhuri wa mwanasheria kwanzaNina Bachelor degree of Education in Psychology, Lakini Masomo ya kufundishia nilisoma History na Kiswahili.
Cha ajabu kila nikiomba kazi ya ualimu wa History mfumo Unaandika "Failed"
Mwenye kujua suluhisho tafadhali naomba Msaada.
Nataka kuomba hizi nafasi za ajira.
Kuna uzi upo humu tumeshatolea ufafanuzi ! Nenda kwenye uzi wa ajira za ualimu utapata majibu muleNina Bachelor degree of Education in Psychology, Lakini Masomo ya kufundishia nilisoma History na Kiswahili.
Cha ajabu kila nikiomba kazi ya ualimu wa History mfumo Unaandika "Failed"
Mwenye kujua suluhisho tafadhali naomba Msaada.
Nataka kuomba hizi nafasi za ajira.
Badili hapo kwenye programme category andika bachelor of education in history then jaribu kama itakuambia failed ukituma na kama unataka uombe na kiswahili basi utaandika barua nyingine na pale kwenye programme category utachagua bachelor of education in kiswahiliNina Bachelor degree of Education in Psychology, Lakini Masomo ya kufundishia nilisoma History na Kiswahili.
Cha ajabu kila nikiomba kazi ya ualimu wa History mfumo Unaandika "Failed"
Mwenye kujua suluhisho tafadhali naomba Msaada.
Nataka kuomba hizi nafasi za ajira.
Kuna mtu namfanyia nae sion history and English, sasa nawaza nifanye kama hvy ulivyosemaBadili hapo kwenye programme category andika bachelor of education in history then jaribu kama itakuambia failed ukituma na kama unataka uombe na kiswahili basi utaandika barua nyingine na pale kwenye programme category utachagua bachelor of education in kiswahili
Ukimaliza maombi unarudisha kama ilivyo kwenye vyeti vyako pale kwenye programme category utaweka bachelor of education in psychology
Shukrani sana... Nimefanikiwa ndugu yangu.failed
Hongera sanaShukrani sana... Nimefanikiwa ndugu yangu.