Matthias Marwa
Member
- Apr 21, 2013
- 7
- 0
Tulipishana na mke wangu siku moja tukagombezana mimi nikajua yameisha lkn baadae nikakuta ameyaandika yale mambo yote niliyokuwa nikiyatamka na kuyatunza ndani ya sanduku lake pia kaongeza hata mambo ambayo sikuyasema. Huyu mke wangu nimempeleka chuo. Baada ya kumpigia simu kumuuliza ni nini lengo la taarifa hizo kutunzwa alilichukulia mzaha. Na kuniambia aliyaandika tu. Kumbuka namsomesha huyu mke wangu, lkn nina mashaka na siamini kama atanisaidia sana maishani maana zile kumbukumbu alizotunza zina mwelekeo wa upande wa familia yao akiwa maana kuwa mimi siithamini na vitu vingine.