Nashindwa kuelewa hatima ya huyu dada mpangaji

Nashindwa kuelewa hatima ya huyu dada mpangaji

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,286
Reaction score
39,418
Wana jukwaa salaam?

Hapa home tupo wapangaji wa 3, wa 2 wanaume mmoja ni dada sasa huyu dada amekuwa shida karaha sana kwa sababu anachokitaka me sitaki kukifanya na nmeapia sitoweza.

Drama haziishi hasa usiku mara apige simu anasikia mtu anatembea kwake me nitaenda kuchek naona safi bhasi atanizuia nsiondoke pale ntaakaa naye mpaka sa8 usiku sometimes atalala me ntarud kwangu. Siishii hapa akija kwangu kustory kuondoka ni mgumu sana.

Sasa hivi naandika uzi natoka kwake alipiga simu anaumwa sana kazidiwa ikabidi nende manake nilishasema sitoenda tena kwake usiku nimeenda nimekuta hana shida ila kavaa nguo nyepesi inamwonesha kilakitu nmevumilia nmesepa.

Naogopa sana kumla coz najua atanisumbua sana anaoneka ni king’ang’anizi na atapelekea mahusiano yangu kufa. Nahisi haya ni majaribu mungu ananipa coz nmepromise kutomsaliti mpenzi wangu. Usiku mwema.[emoji120]

Ni mimi tu nakutana na haya?
 
Mkodie lijambazi limmalize..
JamiiForums498808204.jpg
 
Back
Top Bottom