Nashindwa kuelewa hatima ya huyu dada mpangaji

Acha kona kona umeshamtafuna huyo dada alafu unataka ushauri wa nn,usisahau mpira
 
Mkuu watu wanakutusi humu Sasa we jipeleke kichwakichwa wakati wakupima usifikiri tutakuwepo!.. utakuwa ni wewe na dokta na huyo kimwana wako.. so kuwa muangalifu.
 
Hapo mwisho jibu ni ndiyo.
Ni wewe tu unayekutana na hayo maana wanaume hasa michezo hiyo hawana.
Wao ni moto mara moja ukileta papuchi inapigwa kisha maisha mengine yanaendelea sio kila siku kuigiza Isidingo tu!.

Sio kila papuchi ya kula
 
Atakua huyo mdada ni bonge.. ugopa sana wadada aina hii.
 
Mkuu watu wanakutusi humu Sasa we jipeleke kichwakichwa wakati wakupima usifikiri tutakuwepo!.. utakuwa ni wewe na dokta na huyo kimwana wako.. so kuwa muangalifu.

Roho ilishakataa mapema toka anahamia[emoji23]
 
Huyo dada (mpangaji wa 3) anasura ya baba ake na umbo kama hexagon yaani kitaalam tunanitawaita ma polygon mwamba amini ma men hatujali Tia chapa tambaaa kama side mnyamwezi
 
Huyo dada (mpangaji wa 3) anasura ya baba ake na umbo kama hexagon yaani kitaalam tunanitawaita ma polygon mwamba amini ma men hatujali Tia chapa tambaaa kama side mnyamwezi
 
Hiyo Ipo sana.. Alafu naona wengi wanalaumu hapo.. Ujue sio kila Demu ni wakumla,Yaan unakuta kuna Dem huna hisia nae na pia mtu wafikia kuona nimatumizi mabaya ya kuchepuka au huna huo muda.. HAPO MUHIMU FANYA KUMUITA HUYO DEMU WAKO AKAE HATA SIKU MBILI Akiwa anamuona ataweka heshima tuu ,hao viumbe wanawivu hivyo akishakuona live na dem tena kalala kwako Roho itamuuma hadi utashangaa kakuwekea bifu,hapo ndo kukata mazoea sasa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kama ni mimi, na huyo dada angekuwa modal flani sio kibonge kama alivyo sasa,basi nahisi hili jaribu ningelijaribu na mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Safi sana. Najua watakucheka ila hapo umefanya jambo la muhimu sana. Mimi mwenye kuna manzi kama yako, naye alikuwa analeta mitego si nikamla. Najilaumu sana maana amekuwa na wivu kupitiliza. Kuwa na msimamo huo huo, ni bora ulete manzi wa mbali kuliko wa karibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…