Mkweche II
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 4,160
- 5,793
We nenda kapige mashine... Then ukitoka safisha dushe lako kwa maji tililika na sabuni ya omo au foma... Then ikaushe kwenye stainlizer kwa muda wa dk 5...wasiwasi ukizidi muone dokta mwaka au dokta ndodi
Msemee kwa demu wako aje ampige
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Atakua huyo mdada ni bonge.. ugopa sana wadada aina hii.
Dawa ni kutafuta kazi ya kufanya mkuu.Kukaa kaa idle ndio matokeo yake kuja na thread kama hiz.
Naona hapo umekaa tayar kwa next drama halaf unajifanya hupe[emoji41]ndi
Una umri gani?Wana jukwaa salaam?
Hapa home tupo wapangaji wa 3, wa 2 wanaume mmoja ni dada sasa huyu dada amekuwa shida karaha sana kwa sababu anachokitaka me sitaki kukifanya na nmeapia sitoweza.
Drama haziishi hasa usiku mara apige simu anasikia mtu anatembea kwake me nitaenda kuchek naona safi bhasi atanizuia nsiondoke pale ntaakaa naye mpaka sa8 usiku sometimes atalala me ntarud kwangu. Siishii hapa akija kwangu kustory kuondoka ni mgumu sana.
Sasa hivi naandika uzi natoka kwake alipiga simu anaumwa sana kazidiwa ikabidi nende manake nilishasema sitoenda tena kwake usiku nimeenda nimekuta hana shida ila kavaa nguo nyepesi inamwonesha kilakitu nmevumilia nmesepa.
Naogopa sana kumla coz najua atanisumbua sana anaoneka ni king’ang’anizi na atapelekea mahusiano yangu kufa. Nahisi haya ni majaribu mungu ananipa coz nmepromise kutomsaliti mpenzi wangu. Usiku mwema.[emoji120]
Ni mimi tu nakutana na haya?
🤣🤣🤣Wanaume ni jinsia ambayo iko mbioni kutoweka
Una umri gani?
Alishamla ndio maana unaona uzi umepooza.Mtoa mada atakuwa ana matatizo sehemu
Wana jukwaa salaam?

Ulifaa wewe ndo uvae iyo nguo nyepesi naka skirt
Hamna mwanaume hapa
Mkuu uliangukiwa na kitofu kwenye sehem za siri?Wana jukwaa salaam?
Hapa home tupo wapangaji wa 3, wa 2 wanaume mmoja ni dada sasa huyu dada amekuwa shida karaha sana kwa sababu anachokitaka me sitaki kukifanya na nmeapia sitoweza.
Drama haziishi hasa usiku mara apige simu anasikia mtu anatembea kwake me nitaenda kuchek naona safi bhasi atanizuia nsiondoke pale ntaakaa naye mpaka sa8 usiku sometimes atalala me ntarud kwangu. Siishii hapa akija kwangu kustory kuondoka ni mgumu sana.
Sasa hivi naandika uzi natoka kwake alipiga simu anaumwa sana kazidiwa ikabidi nende manake nilishasema sitoenda tena kwake usiku nimeenda nimekuta hana shida ila kavaa nguo nyepesi inamwonesha kilakitu nmevumilia nmesepa.
Naogopa sana kumla coz najua atanisumbua sana anaoneka ni king’ang’anizi na atapelekea mahusiano yangu kufa. Nahisi haya ni majaribu mungu ananipa coz nmepromise kutomsaliti mpenzi wangu. Usiku mwema.[emoji120]
Ni mimi tu nakutana na haya?
We kuwa zuzu tu lazima kodi yake ijayo ulipe weweWana jukwaa salaam?

We kuwa zuzu tu lazima kodi yake ijayo ulipe wewe
Nani aliyempa namba mwenzie?Wana jukwaa salaam?