#COVID19 Nashindwa kuelewa kuhusu masuala ya Chanjo ya Covid-19 na tozo

Kelviboy

Member
Joined
Sep 21, 2019
Posts
32
Reaction score
36
Licha yakwamba mambo ya kiutawala yanayumba ila acha niseme tu respect kwenu wana jf

Me kama mwanachama huru apa jf kuna mambo mawili (chanjo ya korona na tozo kwenye miamala) nashindwa kuyaelewa husan kwenye vipind hivi viwil vya utawala yaan utawa Wa jpm na huu Wa mama

Labda nianze na swala la corona me kwa kumbukumbu zangu nakumbuka kwenye utawala Wa jpm kuna karesearch ambacho kalifanyika nakuuonyesha kuwa had baadhi ya mazao (mapapai/mastafel/mafenes) yana COVID19 ivyo mzee akasema kua hakuna corona nashughuli zikaendelea kama kawaida ila baada ya kuingia Samia corona imekua IPO tena kiushenzi wanatuambia hili ni wimbi lapil viongoz ndio wamekua wapiga debe la chanjo huku wakizid kutuamasha wananch tukapate chanjo mbaya said wamesahau kua had mazao yetu nayo yana corona ivyo mi czan kama iyo chanjo itakua na umuhim kwasababu tunaenda kujikinga afu tukitoka hapo tunakula vyakula vilivyo asilika

Ukija swala la miamala Mr jpm yeye aliona njia nzur yamapato kwaserikar no kukusanya kodi kwa wafanyabiashara wakubwa pamoja na kutaifisha pesa za MAFISADI yan serikar na watu wakipato chachin ilikua kiroho safiiii shida imeanza kwa Samoa yeye ameamua kuwadekeza wafanyabiashara wakubwa na kufuata shauri za MAFISAD akaona njia nzuri yamapato nikuongeza TOZO kwenye miamala matokeo take malalamiko yamekua meng kwenye utetezi wake wakwanza alisema kati yawateja Million 50 watu million 30 ndio watahusika kwenye kodi hiyo

Huwa najiuliza je? Kwastatistic hiyo ya serikar inaonyesha kua lobo tatu yawatanzania wanauwezo huku 25% tu ndiyo maskin hapa bado namashaka nawasomi wetu nadhan waliklem point Vila kuangalia reality

Tukija kwenye utetez wake Waldo anasema kua kodi inakusanywa ili waboleshe miundombinu vijijin ili kumnufaisha mkulima,hapa napo utata mtupu hivi kwafikra za kawaida mkulima atanufaika kwa balabala ikiwa sokon bei ya hasara? hapa napo napata picha kua washaur Wa serikar kwa CHABO kwasababu maono yao kama ya dalasa la saba

Huwa najiuliza hivi mama kamsaliti baba? Kama hapana kwann anashindwa kuiendeleza ile missing aloicha baba?

R.I.P Maguli
 
Korona Kwa Tanzania ni Changa la Macho. Wanadai kuna wagonjwa 200. Tupo milioni 60 sasa hapo hilo WIMBI Sijui la pili sijui la tatu Wanalilazimishia Sijui Alpha Sijui Delta...ili tu Mkopo walambe
 
Tatizo mama hana misimamo kama ya mzee
 
Ukiyawaza sana Yanayoendelea nchini Tanzania unaweza kujikuta unakuwa 'Mwendawazimu' wa Kudumu mpaka pale dunia itakapopinduka tena.
 
ukikosea mwanamke wa kumuoa umepata hasara kubw maishani
 
Licha yakwamba mambo ya kiutawala yanayumba ila acha niseme tu respect kwenu wana jf

Me kama mwanachama huru apa jf kuna mambo mawili (chanjo ya korona na tozo kwenye miamala) nashindwa kuyaelewa husan kwenye vipind hivi viwil vya utawala yaan utawa Wa jpm na huu Wa mama

Labda nianze na swala la corona me kwa kumbukumbu zangu nakumbuka kwenye utawala Wa jpm kuna karesearch ambacho kalifanyika nakuuonyesha kuwa had baadhi ya mazao (mapapai/mastafel/mafenes) yana COVID19 ivyo mzee akasema kua hakuna corona nashughuli zikaendelea kama kawaida ila baada ya kuingia Samia corona imekua IPO tena kiushenzi wanatuambia hili ni wimbi lapil viongoz ndio wamekua wapiga debe la chanjo huku wakizid kutuamasha wananch tukapate chanjo mbaya said wamesahau kua had mazao yetu nayo yana corona ivyo mi czan kama iyo chanjo itakua na umuhim kwasababu tunaenda kujikinga afu tukitoka hapo tunakula vyakula vilivyo asilika

Ukija swala la miamala Mr jpm yeye aliona njia nzur yamapato kwaserikar no kukusanya kodi kwa wafanyabiashara wakubwa pamoja na kutaifisha pesa za MAFISADI yan serikar na watu wakipato chachin ilikua kiroho safiiii shida imeanza kwa Samoa yeye ameamua kuwadekeza wafanyabiashara wakubwa na kufuata shauri za MAFISAD akaona njia nzur yamapato nikuongeza TOZO kwenye miamala matokeo take malalamiko yamekua meng kwenye utetezi wake wakwanza alisema kati yawateja Million 50 watu million 30 ndio watahusika kwenye kodi hiyo

Huwa najiuliza je? Kwastatistic hiyo ya serikar inaonyesha kua lobo tatu yawatanzania wanauwezo huku 25% tu ndiyo maskin hapa bado namashaka nawasomi wetu nadhan waliklem point Vila kuangalia reality

Tukija kwenye utetez wake Waldo anasema kua kodi inakusanywa ili waboleshe miundombinu vijijin ili kumnufaisha mkulima,hapa napo utata mtupu hivi kwafikra za kawaida mkulima atanufaika kwa balabala ikiwa sokon bei ya hasara? hapa napo napata picha kua washaur Wa serikar kwa CHABO kwasababu maono yao kama ya dalasa la saba

Huwa najiuliza hivi mama kamsaliti baba? Kama hapana kwann anashindwa kuiendeleza ile missing aloicha baba?

R.I.P Maguli
faiza foxy
 
Ukiyawaza sana Yanayoendelea nchini Tanzania unaweza kujikuta unakuwa 'Mwendawazimu' wa Kudumu mpaka pale dunia itakapopinduka tena.
Inqchoma kaka unamaana kati ya mamilion ya watanzania hakuna atakayeweza kufanya mabadiliko hilo camin mi nachoamin watu wenyenye vinasaba vya jpm wapo
 
Back
Top Bottom