Nashindwa kuelewa swala hili kuhusu siku

SANDIA

Senior Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
108
Reaction score
29
Kama Wiki moja ina siku 7, mwezi mmoja una wiki 4, kwa maana hiyo mwezi mmoja una siku 28. Swali langu ni hili: kwanini miezi mingi ina 30 na 31 days? na kama mwezi mmoja una siku 28, basi mwaka mmoja uwe na miezi 13 na sio 12 kama tulivyokaririshwa....

MTAZAMO WANGU TU!
 
hata majina ya cku pia yalianzaje na nani alitunga wanaojua mtujuze
 

Hii kitu ni very complicated aiseee. Ila hii ni kalenda ya mr.G wa Roma.

Mwenye kujua juu ya haya atujuze
 
huyu Gregori alitunga kalenda hii kwa maslah yake ya enzi hizo!
 

Embu itumikishe tena akili yako, kwani mwaka una siku ngapi? 28 x 13 =??. Ni kweli kuwa wiki moja ina siku 7 na wiki nne zina siku 28, je mwezi wenye siku 30 una wiki ngapi? unahisi ni zaidi ya wiki ya nne? Najua kuwa kuna decimal hapo 4.2, ulitaka wasemeje? hata ukifanya approximation inakuja tano?

By the way, hii ni mojawapo tu kati ya maelfu ya kalenda zinazotumika duniani, kwa waarabu ipo hivyo kiasi fulani, za kichina zipo tofauti zaidi. Za kijapani zitakufanya uchanganyikiwe...., just agree with what you decided to accept
 
huyu Gregori alitunga kalenda hii kwa maslah yake ya enzi hizo!

Alitunga kwa maslahi gani?

Ivi huoni kwamba alitunga hivyo kwa mujibu wa mizunguko ya sayari over the sun thus why tuanapata miongo minne ya hali ya hewa kwa kila mwaka?
 

Mkuu it seems uko njema kwenye hizi engo.

Hivi huyo mtu alietunga kalenda hiyo alizingatia nini kwa mzunguko wa mwaka?
 
Mkuu it seems uko njema kwenye hizi engo.

Hivi huyo mtu alietunga kalenda hiyo alizingatia nini kwa mzunguko wa mwaka?

Navyojua mimi asili ya calendar ya siku 365 1/4 chanzo chake ni Africa. Ilianzia Misri. Na ukifatilia kwenye vyanzo vingine utakuta kuwa makuhani wa kimisri ndio waliokuwa wa kwanza kugundua kwamba mafuriko ya mto nile yalitokea wakati nyota fulani (sirius) iliposimama kwenye position fulani. Then ukihesabu tangu isimame kwenye position hiyo hadi irudi tena kusimama in the same spot unapata siku 365. Huu ugunduzi waliutumia sana kama namna ya kuionya jamii kuhusu kukaribia kwa mafuriko. Karibu kalenda zingine zote (except Lunar) zinalalia uti huu wa mgongo.


Source: Egypt ? The Ancient Egyptian Calendar


Kalenda za Julius Ceasar zilikuja baadae sana na kwa kweli ni kama off shoot ya kalenda ya Misri. Hata calendar ya Gregorian ilianzishwa kwa vile ukitumia kalenda ya Julius ilikuwa inapoteza siku moja katika miaka kadhaa na hivyo kufanya makadirio ya lini itakuwa Pasaka kuwa magumu, ndipo Pope Gregory alipoitisha wataalam wa kanisa kusahihisha hii dosari na kuanzia hapo himaya yote ya kanisa ikaitumia
 

Leo tarehe ngapi vile??
 
mwez una cku 28 tu,!Jiulze kwann mwez wa 2 hauishii 30 au 31!Na kwann wengn wanaabudu sunday wengn friday!Yote hayo kasome biblia utaelewa.
 
Mkuu unapozungumzia kalenda kuwa specific unazungumzia kalenda ipi kwamaana zipo kalenda za aina mbali mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…