Ukibadilisha tupe mrejesho tena.Ahsante mkuu nipo ilala nafanya diagnosi nimeambiwa error code P0087 Weak fuel pump
Gari yako ni ya mwaka gani na ina engine gani?Ahsante mkuu nipo ilala nafanya diagnosi nimeambiwa error code P0087 Weak fuel pump
Ahsante mkuu nipo ilala nafanya diagnosi nimeambiwa error code P0087 Weak fuel pump
Engine gani imeandikwa kwenye kadi? Model ya engine.5 series 2006
Hiyo ni code ya low fuel pressure kwenye BMW,
Pump inaweza kuwa ni sababu mojawapo, na kuna engine za BMW zina pump zaidi ya moja ile ya kwenye tank na HPFP.
Pia inaweza kuwa Common rail pressure sensor au fuel pressure regulator.
Tafuteni pressure inakopotelea msikimbilie kubadili Pump.
Okay hiyo gari ina engine aina ya N53.525l 3.0L
PoleeeNimeondoka nayo boss nimepewa bei za pump used kwa kweli narudi kwenye vitz ya wife
πππππNimeondoka nayo boss nimepewa bei za pump used kwa kweli narudi kwenye vitz ya wife
I love TOYOTA.Ingekuwa Toyota saizi ungekuwa unakula tano tu