Nashindwa kulivua hili gamba!!

Tafuta pesa yako nachukia mijanaume inayplelewa na mwanamke, halafu umeniboa eti gamba, unamdhalilisha mtu anaekupa kula, atanenepaje wakati unamnyonya damu namna hii
 
Huyo mama siyo gamba, gamba unaweza kuwa wewe hapo, jivue fasta.
 

enzi za kutegemea vumba la mtu limepitwa na wakati wewe!!! acha kumpotezea muda.. si umuambie kuwa hamna future pamoja ila mnaweza kuendelea kuji-express wakati kila mtu akiwa anajua nini kinaendelea (na kuwa na future plan)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…