mhh iyo kali
ninkinakwamisha wewe usimuoe sasa?
pesa?ndoa si pesa una za MATEMBELE NA DAGAA fanyakweli....KUMCHUNGULIAMCHUMBA WAMTU SI VYEMA
Subiri upate kazi na kipato.., (na uwezo wa kumlea yeye na familia yako), baada ya hapo fuateni process za talaka ili muweze kuwa wapenzi wa kweli mbele ya jamii na sheria na sio wezi (sababu mkishikwa utapelekea rafiki yako kufukuzwa, kupewa talaka na kupata aibu, mbele ya jamii)Tatizo ni nimemaliza masomo juzi tu na bado sijabahatika kupata kazi na sitaki kulelewa mimi na mke wangu!
Ni hatua zipi ulizotumia ili kuhakikisha kuwa imeshindikana?Naona pengine njia unazotumia ni sawa na story za sizitaki mbichi hizi.Kaka nahis wewe unaweza kunielewa!! hapa tatizo ni moyo hautaki kukubali matokeo!! tumejaribu kutokuwasiliana ila imeshindikana!! sasa tufanye nn?!!
Subiri upate kazi na kipato.., (na uwezo wa kumlea yeye na familia yako), baada ya hapo fuateni process za talaka ili muweze kuwa wapenzi wa kweli mbele ya jamii na sheria na sio wezi (sababu mkishikwa utapelekea rafiki yako kufukuzwa, kupewa talaka na kupata aibu, mbele ya jamii)
Ni hatua zipi ulizotumia ili kuhakikisha kuwa imeshindikana?Naona pengine njia unazotumia ni sawa na story za sizitaki mbichi hizi.
Hatua nilochukua (1) kukata mawasiliano. (2) kukaa nae mbali ( 3) kutokutaka kisikia chochote kinachomuhusu yeye!!
na yeye ameyafanya yote hayo ila mwisho wa siku ndio kujiongezea maumiwu!!
Kaka nahis wewe unaweza kunielewa!! hapa tatizo ni moyo hautaki kukubali matokeo!! tumejaribu kutokuwasiliana ila imeshindikana!! sasa tufanye nn?!!
Nshawahi kaa kitaa miaka mbili nahenyea kibarua. Muda wote huo nlikuwa nakula ugali wa wife. Sijawahi kujuta na sitokaa nisahau. Kwenye penzi la dhati, haijalishi nani ni bread winner. Fuata moyo wako kijana, usijitese kisa Pesa.Tatizo ni nimemaliza masomo juzi tu na bado sijabahatika kupata kazi na sitaki kulelewa mimi na mke wangu!