Nashindwa kumsahau mchumba wa mtu!!


Asante ndugu itabidi niushinde moyo!!
 
Kaka nahis wewe unaweza kunielewa!! hapa tatizo ni moyo hautaki kukubali matokeo!! tumejaribu kutokuwasiliana ila imeshindikana!! sasa tufanye nn?!!

Umesema kuwa ni mchumba wa mtu.....sasa basi kama ni mchumba na bado anadai anakupenda na wewe unampenda, na kwa kuwa wewe huna mchumba, basi nakushauri kwamba auvunje huo uchumba wake ili muwe wote. Kwa kusema ukweli hakutenda haki pale alipoamua kupeleka mchumba mwingine

Kupendana ni lazima kuwe na hisia za kufanana, kwamba wote mnaamini katika kitu kimoja: Upendo.

Kama anakupenda, mshauri ajitoe huko kwen uchumba

Kazi na kipato vitakuja tu, awe mvumilivu kwanza
 
mwana we gonga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…