Nashindwa kumtofautisha Tundu Lissu na Jonas Savimbi

Hilo ni suala la wakati. Hata Nelson Mandela kati ya mwaka 1964 -1990 alikuwa gaidi. Lakini mwaka 1994 akawa Rais wa Serikali ya wengi ya South Africa. Na hao hao waliomuita gaidi walimtunuku nishani ya heshima ya Nobel

Nasubiri siku ambayo na wewe inamtambua Lissu kama Rais wa Tanzania yenye demokrasia
 
Hiyo siku haitafika,labda ya usaliti wake na kutumika kwake na mabeberu ndo ishaanza kuonekana
 
Kwenye haki za madini Tundu Lissu ndiye Mzalendo namba moja. Kama hujui sema tukueleze
Madini yepi hayo ambayo huyu kibaraka wa wazungu amewahi kuwa nayo,? Hukimsikia vizuri alipokuwa akisema ikiwa atakuwa rais wa jmt(jambo ambalo halitatokea) atayauza na kuyaweka rehani madini yetu
 


Maniner
 
Akikujibu nitag bro[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Binti wa Dos santos kajilimbikizia mali na kusepea nje ya nchi baada ya wenye mali kushituka na kutaka kumshitaki mahalamani, anaogopa kurudi. Ni wa chama tawala huyo!
Ndugu unajua hali ya Angola leo?
unaweza kutuambia SAVIMBI na hawa waliopo leo nani ni wanyonyaji ?
 
Kama wewe mwenyewe unashindwa kujitofautisha na shoga, utawezaje kumtofautisha Savimbi na Lissu?
 
Naona UVCCM mnatekeleza maagizo ya Bashiru.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Ni msitu gani mpinzani wako anaopigania?
Bila shaka Taaluma yake ni sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…