Kama kashalamba Asali, huyo ni baharia anasonga mbele au ana mtu wake alikufichaHabarini jamani mwenzenu nina mpenzi wangu ninampenda sana ila sasa hivi nashindwa kumwelewa kwani amebadilika sana upande wa mawasiliano amekuwa hanitafuti mara nyingi nikimtafuta hapokei simu nikituma msg hajibu kwa wakati nikimuuliza ana shida gani anasema yupo busy, nikimuuliza ananipenda anasema anaipenda kinachoniuma zaidi ni first love wangu na kumuacha nashindwa naombeni ushauri nifanyaje.
Kila wakati masimu na ma sms, yanachosha bhana, msalimie asubuhi na jioni/usiku inatosha kwani huna shughuli ya kufanya mkuu, ningekuwa mie ningekuacha kabisa
Sasa mbona yeye kashakuacha!!??...... kumuacha nashindwa naombeni ushauri nifanyaje.
Kwa wachepukaji hii tunaiita fursaHabarini jamani mwenzenu nina mpenzi wangu ninampenda sana ila sasa hivi nashindwa kumwelewa kwani amebadilika sana upande wa mawasiliano amekuwa hanitafuti mara nyingi nikimtafuta hapokei simu nikituma msg hajibu kwa wakati nikimuuliza ana shida gani anasema yupo busy, nikimuuliza ananipenda anasema anaipenda kinachoniuma zaidi ni first love wangu na kumuacha nashindwa naombeni ushauri nifanyaje.
Umejibu kiukweli ila hawa mabinti wa siku hizi wagumu kujua Mpenzi ya kweli au yakuwa na pakupotezea pale mmojawapo anapokuwa Period.. Labda tumuulize huyu mhanga je wanaishi jirani? kwa nini anatumia simu sana kuwasiliana na asimtembelee pale anapoishi? Je alishamtambulisha kwa huyo Mwenza wake? Je alisha muonjesha tunda kama bado huwenda huyu mhanga ni mzinguaji yaani miezi miwili bado unafukuzia chini ya Miti miwili hiyo biashara nani atakubali kipindi hiki cha Magufuli?Nani alikwambia kwakuwa ni is a your first love ndio huwezi kumuacha.
Husikubali kuwa na mwanaume anayeonesha hataki kuwa na wewe lakini ukimuuliza unanipenda anakujibu ndio.
Huyo ni confused man yaan anakuwa ana wanawake wengi ila hataki kukukwambia muachane naye sababu anataka kuwa na wote kwa kigezo cha kuwala tu hakuna kingine.
Jichunguze na hakikisha unatambua thamani yako.