LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 3,255
- 6,252
mie ni kijana fulan wa makamo. but tatizo langu ni hili ambalo limenifanya niingie kwenye jamii forum nipate ushauri.
nina mpenzi wangu ngoja nimuelezee sifa zake kwanza ndo nahc ndo njia rahisi ya kuelewa shida yangu.
kwa mwaka jana tu mimi kuwa naye ni uhusiano kama wa 7 hivi japo mapenzi yameanza rasmi mwezi wa 9. kabla ya hapo tulikuwa marafiki wa story( salamu kwa ufupi na jokes za hapa na pale) tu but nimekuja gundua sifa zake zaidi pindi nilpoingia kwenye uhusiano naye
1. ni mtu ambaye haeleweki kwa kweli mara leo anichek kwenye 4n mara hanichek au mara siku nyingine anaongea nami kimahaba siku nyingine napgwa sound ndo naanza kumtongoza.
2. anapenda jokes sana na wakati mwingine jokes zake naona zinanizingua( japokuwa nami ni mtu wa jokes). mfano unaweza ukampgia 4n ikawa busy ukimuask why ur 4n is busy aniantel anaongea na vibuzi vdogo au sugardady ukimbana sana akupe maelezo anakuambia kuwa nawe hutaniwi.
3. kuna siku nilikuwa naongea naye kwenye 4n sasa kwa sababu ya kunogewa na porojo nkataja jina la rafiki yake. aisee mwanaume nilsusiwa wiki moja na nkaaambiwa mie malaya, eti namix yeye na rafiki yake kumbe nilikosea na ukweli wa mambo huyo rafiki yake napga story za kawaida.
4. sasa kibok ni hii toka nianze naye relationship anataka gemu za kila siku. yan nkimtel kuwa naenda job au nimebanwa na masomo ful kununa. nahisi anakapepo ka ngono. mana akija rum hataki tuzungumze mipango ya maisha yeye anataka gemu mwanzo mwisho.
5. toka nianze naye uhusiano ni kama miez 4 hivi lakini huwa anantania kuwa mie wale wapenzi wangu wa zamani tunawasiliana kama kawaida ila hawana jipya. so nahisi kama nachakachuliwa, but kuna mpenzi wake wa zamani kama tukipga gemu rum siku moja kabla anampgia 4n kuwa kesho unaenda kufanya dhambi au baada ya kupga gemu anamuask we jana umefanyaje??
6. sometime akija rum huwa ananiask hivi wewe ni mpenzi au rafiki
sasa naomba mnipe ushauri wenu wanajamii. mana simuelewi kama huyu ni aina ya mwanamke au ndo life style yake. na nataka kama ananipenda kweli au tunachezeana tu. mana kumpenda nampenda.
ni mimi
muathirika wa mapenzi