Nashindwa kumwaga raundi ya pili

Mwambie ainyonye halafu azamishe tena ukishindwa hivyo mkumbuke demu mkali kitaani kwenu au hata vuta picha unamgegeda Amber lulu utamwaga faster
 
huo ugali wa mtama vip kwenye haja kubwa kinyesi hakisumbui kutoka?
Unakunywa maji mengi wala husumbuki, plus matunda na mboga za majani, ila kuwa makini nguvu zisije kuwa nyingi zikalipitiliza maana ukila mwezi tu, utaona mabadiliko.
 
Unakunywa maji mengi wala husumbuki, plus matunda na mboga za majani, ila kuwa makini nguvu zisije kuwa nyingi zikalipitiliza maana ukila mwezi tu, utaona mabadiliko.
vip wenye vibamia itasaidia?
 
Chapa supu ya pweza weka pilipili ya kutosha humo pampja na kipome cha karanga piga na parachichi la Burundi zima 1hr before mtanange, halafu urudi hapa kutupa mrejesho, wakatabahu
1hr before intercourse chakula kinabadilishwa kuwa sperm?
Mmmh!?
Labda kama hiyo ni enhacement drug au food supplement.
 
... ridhika na CC alizokupa mtengenezaji!
 
Kwani mnataka muongeze nguvu za nini? Tumieni nguvu hizo hizo za kawaida mlizonazo zinatosha, au mnataka mwanamke awachoke ili muongeze mwanamke wa pili kisirisiri?
nguvu za kawaida hazitoshi tunataka ziwe nyingi zigine tukopeshe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…