Nashindwa kumwambia akatae

Kazi kweli kweli!!!!

Bura ungetangaza achangiwe hapa JF ungeonekana wa maana kuliko hilo ulilo dhamiria kwa mwenzio. Wewe balaaaaaaaaaa!!!!!!
 
mwaka wa pili atembee na kanali ili asome

mwaka wa tatu itakuwaje?

mke wa kanali akirudi?

akimaliza shule kutafuta kazi atatembea na wangapi?

akiajiriwa atatembea na wangapi kulinda ajira yake???????

na wewe ndo mama alie nae kweli?

so sad....
 
Marytina......drama queen as usual....
hapa kuna habari mbili tofauti,
Habari ya kwanza inahusiana na mtu mwingine....huyo rafiki yako anahudumia watu wenye ukimwi tuu....kama ndivyo kwanini amjibu hana ngoma....ni sawa na kuuliza vumbi darini..

Weka uzi huu vizuri basi uweze kueleweka maana umechenguka chenguka kama riwaya.:A S-coffee:


habari ya pili umeielezea kama vile inakusuhusu wewe,
 

Umesahau kumwelekeza acheze upatu!
 

Huyu bana! Umeona ehhh?
 

Anadaiwa shilingi ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…