Nashindwa kumwelewa huyu dada

Ushauri wangu ni usimpe nafasi kubwa sana katika moyo wako(kiti ambacho kitakuwa kigumu coz unampenda kwa thati), coz inavyoonekana bado yuko fifty fifty kwako. inawezekana jamaa yake amemkorofisha akaamua kukutafuta ili kupooza machungu. so siku jamaa akirudi utakuwa huna chako then utauimia mara mbili zaidi ya mwanzo. Yaani from my experience hii ni ishu ambayo nimewahi kukutana nayo na ilinichukua muda kurudi kwenye normal. cha msingi kama utaweza achana naye tu coz atakuja kukusumbua.
 

Thanks ndenga, hayo ndo maneno. i like this.
 
Huu ushauri mwingine ni kutumbukizana mashimoni changanya na za kwako.

 

do you prefer being second when it comes to love?
nakushauri usipende kuwa na mtu ambaye anakuwa na wewe kwa sababu tu wewe ni kituo
anakuwa na wewe baada ya mahusiano yake ku feli.
 
kawaida ya anaependwa akajua haachi kujishaua ,pengine anakupenda ,lakin wewe mpuuze la kama ana kupenda ata kuambia .lakin usijioneshe udhaifu wako tena ,kwake yy , kwani mambo hayo yapo sanaa ,na kwa wanawake na wanaume, be stong
 
Love takes time, yawezekana kwa sasa hisia zake ndio yipo kwake. Usipuuze!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…