Nashindwa kupata usingizi kwasababu ya makelele ya baa jirani

Kwani Huko ndio hakuna POLISI? Wale Jamaa wanapita usiku kwenye mabaa na kupewa pesa, nimewashuhudia wakienda Ibungu pale Mabibo mwisho, wanaanzia kigogo kule hadi Ubungo, wanaingia Sinza, wengine Wana deal na Tabata
Bongo ujanja mwingi
 
Eti wasanii wa kizazi kipya.
 
Hili ni jambo la kusikitisha sana Kwa taifa.
 
Unganeni mkafunguwe kesi mahakamani. Baa nyingi zimefungwa ata maeneo ya Sina sababu ya kelele.ni kosa baa kupiga mziki kwa sauti. Ni haki yenu kuishi bila kelele
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ kitanda chako ndio kaburi lako, shuka yako ndio sanda yako.....mbona utaamka tu hata kama hautaki
Yaani jamaa wanakera mno, inabidi wakamatwe tu badala ya kukamata viongozi wa Chadema. Unawapigiaje kelele watu wasilale wakati kulala ni muhimu? Hizi dini za kipuuzi zinaharibu sana akili waafrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…