Nashindwa kurudisha moyo kwa mpenzi wangu baada ya kurudiana

Wat
Watu mna visa aisee, asa iyo ndio sababu ya kutompenda? Vingine unapiga chini then mnasonga as longer anakupenda.. Mzee ukimuacha utakuja pata dubwana hilo hutoamini nakuambia.

Tatizo la wasomi mnataka endesha ndoa kisomi, yaan reasoning na procedure mnataka katika kila kitu, hii ina haribu mahusiano ya wasomi wengi.

Angalia kwa sasa,kama anakupenda haku cheat, na ni mzuri, shikilia mzee.
Usijesema sikukuambia
 
Fanya umuulize kiume yaani...na ukikaa kimya atakuona wewe bado mtoto

Muulize kabla ya kufanya chochote uliniambia kuwa wewe ni bikla na ilikuaje sikukuta hiyo bikra?
 


Ushauri bora kabisa huu.
Kama kukusikia amesikia, otherwise atakua ana sababu nyingine za kutaka kumuacha huyo binti.

Nina mfano mzuri sana unaoendana na alichoandika, lakini kwa sababu bikra ndio lilikua lengo lake akaona hastahili tena kuwa nae. As we speak my friend yuko kwenye majuto makubwa (tumetumia busara kumrudisha aliekua shemeji yetu imeshindikana) and the girl is getting married na mtu alieona thamani yake.
 

Ni utoto, akikua ataacha lakini atakua amechelewa.
 
Huenda kipindi alipopunguza ukaribu na wewe alipata mtu mwingine ila baadaye wakazinguana, ndio akarudi kwako. Unajua wanawake ni watu wa hisia tu uenda sasa hivi anakupenda kwa dhati. Muulize maswali yote ili usiwe na kinyongo nae.
 
Iyo bikra imetolewa chuon kipindi mahusiano yamestuck,pili ulishibdwa kumshawishi umtoe iyo bikra, we cha msiNgi mrudie muuluze uwe huru then utaendelea kutafuta izo bikra taratibu pia mpe mimba upate nice offsprings
 
[emoji1787][emoji1787] sawa mkuu
 
Iyo bikra imetolewa chuon kipindi mahusiano yamestuck,pili ulishibdwa kumshawishi umtoe iyo bikra, we cha msiNgi mrudie muuluze uwe huru then utaendelea kutafuta izo bikra taratibu pia mpe mimba upate nice offsprings
Sawa mkuu, ila uliposema hapo kwenye kuendelea kuzitafuta umeniongopea, ukitaka bikra ifuate primary school
 
Huenda kipindi alipopunguza ukaribu na wewe alipata mtu mwingine ila baadaye wakazinguana, ndio akarudi kwako. Unajua wanawake ni watu wa hisia tu uenda sasa hivi anakupenda kwa dhati. Muulize maswali yote ili usiwe na kinyongo nae.
Poa mkuu
 
Nimekuelewa kakaa
 
Acha upuuzi hakuna manzi atafika chuo na bikra lbd mwanaume ukiwa peke yako ulimwenguni. Hakuna madanga kama hao
 
jaribu kukumbuka mazuri yake pia naamini anayo mengi kuliko hayo mabaya yake pima halafu yafanyie kazi mazuri yake hakuna binadam aliyekamilika hapa duniani acha akili za kitoto
 
Mwambie
 
Alikosea kutokwambia kuhusu bikra na wewe ulikosea kutomuuliza.
Muulize ilikuaje, muulize sababu za kumute hapo katikati mpaka ukampotezea.

Tatizo lilipo kwako mkuu wewe sio muwazi kabisa, mwambie kinachokuumiza uone majibu yake na uyapime kama utayavumilia ama lah, sikufichi mkuu girls akipenda kweli anaweza kukwambia ukweli bila kukuficha akiamin akikwambia ukweli utamsamehe.

Bikra sio ishu kiivo we jamaa bna usimuache mtoto watu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mwanamke anaakili Sana kushika simu yake siyo kigezo kabisa .


Anaye na anapigwa miti vzr sana

Cha msingi ww amua kumuacha au kumuoa basi

Lkn kitu cha simu au kutonyimwa ni Jambo jingine
 
story yako kama yangu tofauti ni kidogo sana hata umri wangu ni kama ww 24 - 28 .

Hata mimi ninae msichana ananipenda sana yaan tuna miaka 4 kwnye mahusiano alafu haniombi hela kabisa mpka me nijiskie ndo nampa tena nakula mzigo muda wowote yaan ananielewa sana na sio muongo Hata kidogo ila me hayupo moyoni na sina sababu yoyote sielewi.

Ukipewa ushauri unishirikishe pia yaan najihisi na tatizo maana ni mzuri huyu binti ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…