[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani umegundua nn?Kila nikisikikiliza zilipendwa ya Mond na seduce me ya Kiba then nkihusianisha na comments za watu mtandaoni nashindwa kuelewa kama me nimedownlod nyimbo tofaut na zenu au sikio langu lmepinda
panua upaja mkwaju waja
panua upaja mkwajuwaja
Umenichekesha unavyo shangaa ndiyo nami ninavyoshangaa Chuki zote ni za nini na sababu ya hayo malumbano nini? Labda kuna anayejua lengo la hayo malumbanoKila nikisikikiliza zilipendwa ya Mond na seduce me ya Kiba then nkihusianisha na comments za watu mtandaoni nashindwa kuelewa kama me nimedownlod nyimbo tofaut na zenu au sikio langu lmepinda
panua upaja mkwaju waja
Wakati unaendelea kuwashangaa wabongo naomba nikutaarifu tu kuwa leo TRA imetangaza kazi walioonekana kwenye usaili inasemekana ni 3000 na nafasi zinazotafutwa ni 45 pia kumbuka kuwa hao ni wale waliosoma masomo ambayo at least yanaweza kuajirika TRA case study maswali yaliyoulizwa.. Je ni wangapi wapo Idle? Kazi yao nini kama siyo kujiunga na hizi Team zinazoongozwa na Waha wa Kigoma? Au Umesahau Zitto Kabwe akiamua kuanzisha Team inavyo Bamba? Au Kafulila? Mkuu hizi Jemba za Kigoma ukizifuatilia utaumiza Kichwa... Ommy Dimpozi Kigoma, Ally Kiba Kigoma , Dimond Kigoma.Kila nikisikikiliza zilipendwa ya Mond na seduce me ya Kiba then nkihusianisha na comments za watu mtandaoni nashindwa kuelewa kama me nimedownlod nyimbo tofaut na zenu au sikio langu lmepinda
panua upaja mkwaju waja