Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Yani Maua peke yake ndiyo yanayawafanya mtake kusaini free trade agreement na European Union, the World's richest continent by far wakati sisi ni World's poorest continent by far!
Isitotoshe EU ina watu zaidi ya milioni 500 sisi tuko 120 tunawezaje kushindanan nao?
Ukiondoa Maua mtauza nini tena EU? Mnafahamu kwamba EU wana weza kuuza kila kitu kwetu?
Na isitoshe Maua yenyewe yanamilikiwa na hao hao Wazungu, wao ndiyo wanaolobby ili wapate super profit kwamba waexport Maua kwao EU tax free halafu fedha yote kwa kuwa wenye mashamba ya maua ni hao hao Wazungu inabakia Europe!
Ndiyo maana nashindwa kuelewa kwa nini Kenya inapigia kelele sana EPA wakati bidhaa pekee wanayoweza kuuza ni Maua, lkn wanasahahu kwamba Wazungu wanaweza uuza kila kitu, wataleta Maziwa, Mayai ya Kuku, mpaka textiles hapa kwetu tax free ...