ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Seriously watu roho inawauma Kwa mfano Rais awe na billion zake 20 mnataka asiwe nazo asiwekeze? Mimi naona Rais ni mtu mkubwa anaweza akapewa hata zawadi na kiwanja cha cement wakampa macement kibao akaenda kujenga anachokiwaza. Mlitaka Hayati Magufuli asimiliki manyumba ambayo watu kibao wa nayo? We macement akipewa zawadi ni yako hayo?
Au hutaki Abduli awe na hela hio sio kweli wenye hela ni wengi hata ingekuwa ni wewe ndo labda mtoto wa Rais tungekubali kuwa huna hela? Tuseme tu ukweli kabisa kama wanafamilia kama Watanzania kama binadamu wa maisha hayahaya.