Seriously watu roho inawauma Kwa mfano Rais awe na billion zake 20 mnataka asiwe nazo asiwekeze? Mimi naona Rais ni mtu mkubwa anaweza akapewa hata zawadi na kiwanja cha cement wakampa macement kibao akaenda kujenga anachokiwaza. Mlitaka Hayati Magufuli asimiliki manyumba ambayo watu kibao wa nayo? We macement akipewa zawadi ni yako hayo?
Au hutaki Abduli awe na hela hio sio kweli wenye hela ni wengi hata ingekuwa ni wewe ndo labda mtoto wa Rais tungekubali kuwa huna hela? Tuseme tu ukweli kabisa kama wanafamilia kama Watanzania kama binadamu wa maisha hayahaya.
Hehe angalia tu wakipataga hata udiwani tu hali inakuaje,,,,,
Nyerere na uzalendo wake wanamtusi kila siku kwamba hakujenga future yake na ukoo wake,,,,,,...
Haya hawa wengine hawataki kuondoka madarakani kama Nyerere ,oooh nayo inakua kesi tena
Tatizo sio kuwa na hela.. Tatizo ni kuwa na hela zilizotokana na ubadhirifu wa hela za serikali..
Huyo Andul uliyemtaja sijui kama na yeye ni Rais.. Ifike mahali sisi kama Taifa tuheshimu mapato ya nchi.. Vinginevyo mpaka watoto wa mawaziri makamishna na wakurugenzi nao watataka wawe mabilionea kwa kutumia nafasi za wazazi wao..