Nashindwa nimuanzeje

Kwe design hiyo hata akikubali hutamfanya chochote!
Mtabaki kucheza rede ya kondom!
 
Mwanamke mtamu ni yule uliyemtongoza kwa maneno ya kinywa chako mwenyewe. Yaliyotoka moyoni mwako.
Jipange.
 
dogo we jitose tu kwani kibuti kinaua?mpeleke lunch mwaga sera zako....
 
Hahaha! Domo zeeegee mguse akupe cha mbavuu mwaka wa 3 hana m2 we chz
 

hahahahahah,
cv yako nimeipenda
 
Kuwa na tabia ya kuthubu mr,mwaka wa 3 bado huna uwezo huo?
 
very simpo,kama unaogopa kukataliwa mwite,mwambie kiujanja janja husiwe direct sana, kwa mfano ukiuliza swali liwe na majibu kuanzia mawili ukiwa umelengesha linalo kufaa, huku ukimsikiliza kama majibu yake yanakufeva wewe au hayakufevi ukisha mpima mara nyingi kidogo (uvumilivu muhimu) waweza anza kumchomekea mada zako,kuwa makini kama tabia zako sio nzuri igiza,kama kujifanya mcheshi mwenye stori nyingi,mwenye busara toa ushauri wa maana ukiombwa kufanya hivo.nitarudi.
 
Cmple fanya research profile za watu facbk uongo m2pu! Fanya vyuoni asilimia zaid ya 90 za wadada mwaka wa 3 wako kwenye relation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…