Nashindwa nimuweke kundi lipi!, "penzi maslahi; au mengineyo.


Fanya maamuzi magumu.! Jivue gamba uanze mwaka vizuri.
 

Pole mwana lakini kumbua "akipendacho binti...."
 
bora huyo anachukua vitu vyako kuliko angekuwa anachukua kwa wengine then umuone navyo tu
 
I know what you are talking about. Hata mimi nimewahi kuwa na gf wa aina hiyo. Akija getto lazima aondoke na kitu. tshirt zangu, cd za miziki, movie, simu, handcachief ili mradi tu achukue kitu. Nafikiri sio kuchuna per se lakini mabinti wa aina hii, hupenda kutumia vitu vya wenza wao kama njia ya kuwa karibu zaidi. Pia huamini kuwa wewe upo kwa ajili yake na they deserve kutumia vitu vyako kadri wapendavyo kwa kuwa wao nndo malkia. ushauri wangu ni kununua viti viwili viwili pale unapoweza..
 
kaka yangu,sijui mna muda gai ktk mahusiano yenu,lakini nnachojua mie,inaonekana mtu wako ana tamaa,selfish, not considerate.
cha kufanya
1.Tafuta siku nzuri,ukae nae mkiwa mmetulia,umwambie kuwa tabia hizo huzipendi,kwa ustaarabu tu
2.Asipobadilika,fanya kwa vitendo,akiomba simu,usimpe,akichukua kitu flani,mnyan'ganye,ukiendelea hivyo kwa wiki kadhaa,atajua kuwa hupendi.
3.akiendelea na tabia zake za ajabu,then you will have no choice,PIGA CHINI, JUST FOR GOOD, kama ulikuwa na lengo la serious relationship
your REAL PARTNER must be loving,caring and considerate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…