Nashukuru awajatutia goli nyumbani-h,cannavaro

Nashukuru awajatutia goli nyumbani-h,cannavaro

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Beki na capt wa yanga h cannavaro ameshukuru redioni waboswatana awajawatia goli
namnukuu

'''kiukweli jamaa wazuri walijiandaa nashukuru mungu tumeshinda!!kingine nashukuru awajatutia goli!!wangetutia goli wangekuwa na goli la ugenini tungepata shida nasisi kuwatia magolimengo kwao ilitiendelee!!nashukuru mashabiki pia
 
mambo ya valentineday hayo kutiana magoli...mmmh kiswahili shida kingereza shida.BORA KILA MTU AONGEEE KIKWAO
 
Back
Top Bottom