Beki na capt wa yanga h cannavaro ameshukuru redioni waboswatana awajawatia goli
namnukuu
'''kiukweli jamaa wazuri walijiandaa nashukuru mungu tumeshinda!!kingine nashukuru awajatutia goli!!wangetutia goli wangekuwa na goli la ugenini tungepata shida nasisi kuwatia magolimengo kwao ilitiendelee!!nashukuru mashabiki pia