Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
Mimi Ni mwenyeji kidogo humu ambapo Leo hii JamiiForums wamenitunuku usenior member.
Kwa sababu ya kufikisha vigezo vyao, imenichukua zaidi ya mwaka mmoja Tangu nilivyo kua Active kua senior member maana mda mchache ulio pita nilikua member na nilikua kitambo JF ila kwa sasa nipo Active.
Hivyo nilianza na New member miaka ya nyuma sana enzi za Jakaya nikawa member sasa Ni senior member hivyo nitakua pamoja na JF kufikia malengo na hata kua mmoja ya wadau wanao lipia jf ili isonge mbele.
Nashukuru kwa Hilo.