Umeupataje?Mimi Ni mwenyeji kidogo humu ambapo Leo hii JamiiForums wamenitunuku usenior member.
Kwa sababu ya kufikisha vigezo vyao, imenichukua zaidi ya mwaka mmoja kua senior member maana mda mchache ulio pita nilikua member.
Hivyo nilianza na New member nikawa member sasa Ni senior member hivyo nitakua pamoja na JF kufikia malengo na hata kua mmoja ya wadau wanao lipia jf ili isonge mbele.
Nashukuru kwa Hilo.
Itakua kweli Mkuu maana nahisi nitainunua JamiiForumsBila Shaka Yoyote Huko Mbele Zaidi Utatusumbua Wewe
Mwanzo Umeonekana Wazi
Mimi Ni mwenyeji kidogo humu ambapo Leo hii JamiiForums wamenitunuku usenior member.
Kwa sababu ya kufikisha vigezo vyao, imenichukua zaidi ya mwaka mmoja kua senior member maana mda mchache ulio pita nilikua member.
Hivyo nilianza na New member nikawa member sasa Ni senior member hivyo nitakua pamoja na JF kufikia malengo na hata kua mmoja ya wadau wanao lipia jf ili isonge mbele.
Nashukuru kwa Hilo.
Hongera kwa kupanda cheo,Mimi Ni mwenyeji kidogo humu ambapo Leo hii JamiiForums wamenitunuku usenior member.
Kwa sababu ya kufikisha vigezo vyao, imenichukua zaidi ya mwaka mmoja kua senior member maana mda mchache ulio pita nilikua member.
Hivyo nilianza na New member nikawa member sasa Ni senior member hivyo nitakua pamoja na JF kufikia malengo na hata kua mmoja ya wadau wanao lipia jf ili isonge mbele.
Nashukuru kwa Hilo.
Nilifikiri hujui unachokiafanya kumbe unajua.Kwa sasa mshahara kila mwezi unaingia wa senior member
Ni zaidi ya mishahara ya Serikali
Hapo kuweza sasa ndo kazi sisi ndo IT wa JamiiForumswewe jamaa tukipige ban mapema...
kabla ujaja kusumbua zaid