comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
kipepe JR.
mbele yenu waungwana.
once again!
ebana kwanza niwashukuru waliolianzisha jukwaa hili, kwani ndio walionifanya sasa nimempata 'wife material'
siku chache zilizopita, niliweka bandiko hapa ya kua nahitaji mpenzi, nikaweka sharti awe mzuri, nashukuru mungu nimempata niliemtaka na jana tumefanikiwa kukutana.
japo watu walichukulia kama masihara, lakini nashukuru nimempata mpenzi niliemtaka, ama hakika ni binti mrembo sana, mwenye tabia njema na uzuri wa asili.
asante sana Matilda kwa kulitilia maanani bandiko langu, mpaka ukakubali kuwasiliana namimi na kukutana namimi, mpaka sasa tumekua wapenzi, nakupenda sana.
nawashukuru wote.