Nashukuru kwa Mo Dewji kumuondoa Msaliti Mkuu na Mtu aliyetuumiza sana Simba SC kwa Yanga SC Salim Abdallah 'Try Again' katika Bodi

Status
Not open for further replies.
Mtasalitia na wangapi..kwahiyo sio Mangungu tena?
 
Mara Manula,mara kijili, mara kazi ,mara kapombe mara Mangungu Leo Try again...we jamaa una matatizo....
 
na sisi tutamalizia kwa mangungu...

hawa watu hawatufai simba...
 
Sasa anaweza kwenda huko huko Yanga SC alikokuwa akilipwa kwa Kuisaliti Simba SC kwa Kutoa kila aina ya Siri tuumie.
Msaliti namba Moja wa Simba ni uyo mhindi wenu Mo,,mtakuja kushtuka mkiwa mshachelewa,,
Akishaga chungulia na kuona upepo auko sawa uwa anajivunja na kumpa mtu mwingine nafasi yake akisingizia majukumu kwani wakati anarudi kuwa mwenyekiti wa bodi akujua kwamba anayo majukumu yanayombana? Hapo ashakwepa lawama kijanja anajua kucheza na akili za mbumbumbu akija kuulizwa juu ya ubingwa atawaambia yeye anatoa pesa kama mwekezaji mambo ya uendeshaji wa timu iulizwe bodi na mwenyekiti wake ni kwa nini timu aifanyi vizuri🤣🤣🤣
 
Labda ndo ametokea huu muda ndo anahitaji kidume wa kumtia mimba, bila shaka kwenye kipindi kama hiki Huwa anapata muwasho kunako na kumhitaji kukunwa
Kama Baba yako Mzazi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…