Nashukuru Mungu kwa baraka hizi, biashara yangu imekua

Sijihusishi na vyote lakini hali bado jojo

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Point yake kwa hivyo vitu vyote ni matumizi mabaya ya pesa, sio kwamba watu hawaruhusiwi kufanya hivyo bali hivyo ndio vinavyochangia matumizi mabaya ya pesa

So inaweza kua hivyo au vingine ambavyo havipo hapo, angalia budget yako kama una financial budget plan inayokupa road map ya kufika malengo yako.

Unaingiza kiasi gani kwa mwezi (siku, wiki)
Unatumia kiasi gani?
Unasave kiasi gani?
Unawekeza vipi hiyo saving?
Inazalisha vipi hiyo investment mpya?

Utajiri unatafutwa kwa plan kali ndio maana haupatikani kiholela kwa kila mtu.
 
Asante mkuu...umenifungua kitu kipya
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutafika tu ndugu yangu....wameanza kusema nina roho mbaya siku hz...!!nami nnataka tuheshimiane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
napenda sana vijana kama kwenye nchi yetu ...tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…