Nashukuru Mungu kwa baraka hizi, biashara yangu imekua

Hongera sana mkuu. Hapo ndipo unajua ni kwa nini matajiri si wasomi. Umewahi kujiuliza ungeanza miaka mitano iliyopita baada ya kumaliza form six, ungekuwa wapi kibiashara.........maisha ni msitu mnene.
 
Na kweli ndugu...maana nimepiga hesabu kama ningepewa ajira na nkawa kazin pia...mda huu ningkuwa jela au nimefukuzwa kazi.....Naamin Mungu amepanga nifanikiwe kupitia biashara
Hongera sana mkuu. Hapo ndipo unajua ni kwa nini matajiri si wasomi. Umewahi kujiuliza ungeanza miaka mitano iliyopita baada ya kumaliza form six, ungekuwa wapi kibiashara.........maisha ni msitu mnene.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…