Asante Songito, mimi binafsi nilitamka wazi baada ya shule lazima nikatumike nyumbani regardless ya hali yake. Si kwamba nashindwa kupata kazi huku lakini huwa najiuliza kama tukiwaza kila anayekuja harudi tutaendelea kuilaum serikali milele. Nimefanyakazi huku ughaibuni nimelipa TAX nyingi sana zaidi ya tuition fees niliyolipa, sasa naamua angalau kodi hiyo ikusanywe na TRA watoto wangu watafaidi hata kama sio mimi.Songíto;3680289 said:huku nje bwana tunapasikia tu k wala sipakubali, tunaishi kwa tabu tu...uhuru hamna..wakati mwingine ubaguzi wa waziwazi.... to me hom z hom!! shule ikiisha basi ni bongo tu... hongera kaka kila la heri katika mapambano....
Ndugu wana jamvi wenzangu ni jambo la kumshukuru Mungu kwa kuniwezesha kumaliza masomo yangu.
Nimepata 'Merit' in Msc. Operations Research and Statistics.
Kwenye hii course tulikuwa wanafunzi 15 toka mataifa mbalimbali Mtanzania nikiwa pekeyangu.
Mmoja tu ndiye aliyepata Distinction, mmoja Merit ambaye ndiye mimi waliobaki wote PASS kweli Mungu ni mkuu.
Sasa narudi nyumbani tusaidiane kuikomboa nchi hakuna kulala hadi kieleweke.

Asante mkuu, haya maigizo naona yako ukingoni kinachotakiwa ni kuweka madarakani watu wanaotanguliza mbele maslahi ya taifa, nafikiri tunaweza.Hongera na Karibu kwenye hii tamthia tujumuike kuigiza pamoja maana hii maisha ya waTZ sasa ni kama tamthilia
Nashukuru gfsonwin, ni kweli mkuu pamoja na mambo mengi ya huku ikiwemo TAX kubwa ambayo karibu nusu unailipa kwa nchi ambayo watoto na wazazi wako hawatafaidi, suala la uhuru nalo ni muhimu sana. Socialization pia nayo imechukua nafasi kubwa sana kwa uamuzi wangu wa kurudi. Hongera pia na wewe kwa uamuzi huo wa kurudi nyumbani.hongera sana kwa pass nzuri. pia nakupongeza kwa ia ya dhati ya kurudi home. mm nilikuwa somewhere nasoma tulikuwa wa tz 4 ktk vyuo tofauti but wawili wamebaki huko wakadai wanapenda kufana kazi huko. binafsi niliona maisha ya nje ni mabaya ukicompare na ya kwetu. hasa kwa kipengele cha vyakula na ufree pia na matumiz ya hela.