Hukupangiwa IFM kwa sababu hukuwa na sifa za kujiunga na hicho chuo.Ndiyo maana SAUT ukiwa na hata division two ya form six unaweza kuchaguliwa kusomea sheria direct, lakini UDSM huwezi kuchaguliwa sheria direct ukiwa na division two.
Unavyosema yeyote humu ndani angechaguliwa IFM angejisikiaje,inategemea mtu mwenyewe ulivyosoma malengo yake yalikuwa awe nani baada ya kumaliza elimu ya juu.
six ulipiga div ngapi kilaza wa fikra.
mi Kielimu hata Sipo Poa Asee nilipiga Three Ya 14 ndio Maana Pumba Haziniishi!!!
umetisha, i like dat
Mwambie aje SUA
We mjinga huna akili kabisa unafikiri waliopanga hawana akili kama wewe, au wametumia ****** kama ulivyofanya mtihani wako wa necta?? Kama ungekuwa na akili ungeenda havard university *****, isitoshe kozi uliyopangiwa ni ya kisenge huko saut, **** u!!
nawe akili yako haina tofauti na mtoa mada, tofuti ipo katika uelekeo wa mnachokizungumza.Wazee wenzangu huyu mtoto Kiazi Kwelikweli, kama wamewachagua ambao hawakuomba imekuaje yeye akaachwa? Ulikoenda dogo ndiko ulikostahili. Lakini IFM kwa watoto wakali, yote wakashifuni ila kwa hili la watoto wakali ni namba one bongo, wamepitia unyago wanaweza kweli. Au siku hizi wanadahili wamakonde tupu?
nawe akili yako haina tofauti na mtoa mada, tofuti ipo katika uelekeo wa mnachokizungumza.
Shame on you!
Embu acheni Sasa Ku Update hii Post...
Mwisho Leo...
msimamo wangu IFM =Institute of Failure Management