Nashukuru nimefikia hatua ya juu kabisa

Nashukuru nimefikia hatua ya juu kabisa

Akasaje Mbamba

New Member
Joined
May 13, 2021
Posts
1
Reaction score
0
Katika mambo yangu ya kimaisha na kiuchumi i have reached one of the highest stage of thinking.

Unajua inapofikia hatua unaota ndoto unajadiliana na wawekezaji tena ndoto nzima unaota kwa kiingereza ni jambo la kujivunia sana.

That means you have been competent and mastered the language to the highest stage.

Nimekuwa mara nyingi nikiwa nafanya meetings na watu wa mataifa mbalimbali kuhusiana na mambo mbalimbali nikijaribu nami kuangalia fursa za kiuchumi.

Jiulize wewe mara ya mwisho umeota ndoto ya utulivu ni lini. Au ndo ndoto zile zile za kukimbizwa,kukabwa,kubakwa,kufa,kuota unajisaidia haja ndogo n.k

Mimi naota nipo na wawekezàji, watu wenye uelewa,watu wenye akili n.k na tunatumia lugha ya kiingereza,spanish na pia mara chache kiswahili.
 
Ndoto niulimwengu halisi....

Ila pia Kuna ndoto za alinacha
 
Kwamba ukiota unaongea lugha za kigeni basi umefanikiwa...

Tunaweza kupima uelewa wako kwa hii post pekee..
 
Back
Top Bottom