Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nisaidie kushangaa mkuu...membe kafanyaje yaani week yote ni yy tu
Hahahahahaha atausikia JF pekeeMembe membe !!! Membe oyeeeee
duh sijui kuna mkakati gani hapaNisaidie kushangaa mkuu...
Halafu members kadhaa wamecharuka ghafla kweli kila post yao ni Membe.
Ndo unajifunza kuandika auMMIngu[/U] ampe maisha marefu.. mwaka 2021 Membe akiwa magogoni watoto wote wenge jina lake wataitwa kwenda kuonana na rais wa watu.
Nimepigwa na butwaa lazima kuna namna tu haiwezekani ghafla bin vuu mzuka wote umekuwa ni membe tuNisaidie kushangaa mkuu...
Halafu members kadhaa wamecharuka ghafla kweli kila post yao ni Membe.
Duuh mwanangu umetisha sana dadekiiiiiiiMimi nabadili jinsia nikaolewe na Membe.